Mimi sioni tatizo kituo kutwa zinatirika aya za alubadiri wanazosoma watangazajiNaam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Kwani kusoma albadiri kunahitaji wasomaji wangapi?
Mimi naona wanatosha