Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Uongo
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Elimu ya kujilipua hiyo
 
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Wamewazidi wakristo kwenye uwekezaji upi? Mashule, vyuo, hospitali, vituo vya afya au vyuo vya ufundi?
 
Wamewazidi wakristo kwenye uwekezaji upi? Mashule, vyuo, hospitali, vituo vya afya au vyuo vya ufundi?
Kwa sababu wakristo walinyonya haki za waislamu kwa miaka mingi hatusemi kuwa tumewazidi isipokuwa waislamu katika kipindi nilichokitaja wamezinduka na kujifanyia mambo yao
 
Wanamudu hio kazi au ? Sababu lingekuwa tatizo kama wangeshindwa kurusha hizo nondo ila kama umesema ndogo zinarushwa basi vema huenda hata hao nao kwa kufanya kwao wanachofanya ndio kujitolea kwenyewe...

TV / Radio is a dying medium kipindi hiki cha Content on Demand inabidi wabadilike (sio wao tu bali na wengine) mambo yamebadilika....
Na wakiwa wengi watatangaza nini?
Mass Communication ina mnyororo wake, kunapaswa kuwa na uwiano kila kipengele
 
Back
Top Bottom