Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mohamed Yombe bado yupo?Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Niko hapa kwa Shirima, Mianzini Chuga naona na yeye ameguswa sana na hili suala kaahidi atachangia. Ndo namalizia kitimoto rost hapa nikatume muamala.Nauza nguruwe wangu kuchangia lete acc number
Why nguruwe lakini si useme hata mbuzi😂😂Nauza nguruwe wangu kuchangia lete acc number
Hawataki watanagaziji wa kike watatia unajizi imaanTV.Muislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia
Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂...... Dah nimechekaWavaaa kobazi ngoja waje wakuombe account ya bank ya tv Iman waweze kufanya jambo..
Japo wanalaumianaga kuwa hawatoi sadaka Zaid ya jero
Pesa Haramu hiyoNauza nguruwe wangu kuchangia lete acc number
Hii imeendaAu wawashawishi wachungaji na manabii kuleta matangazo hapo kituoni, angalau hii itaongeza mapato ya kituo
Hawa waislamu wenzangu Huwa wana ubinafsi kama wahaya ni ngumu hiyoMuislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia
Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
Hawataki wasomi wa elimu dunia wanataka wasomi wa ilimKama amesomea habari au journalism basi wapewe nafasi ya kujitoea ili wasaidie.
ViliziHuu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Hakunaga pesa haramuPesa Haramu hiyo