Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Hivi Hapa Tanzania Ukitaja Top 10 Ya Matajiri Si Wa Islam , Sasa Kwanini Wasipige Donei Kukupiga Tafu Kituo Cha Iman Tv
Michango tu kuchangia umeme wa Luku wa msikiti waislamu kutoa shida hadi utakuta wanaswali giza mtu akitoa shilingi tano anataka hadi vipazs sauti vya msikiti vitangaze yeye na baada ya swala kila mtu wakiongozwa na imamu wa msikiti ampe mkono wa asante kwa kutoa shilingi mia tano na kuombewa dua ndeefu kwa hiyo mia tano yake vinginevyo hatoi tena na atautangaza huo msikiti wa makafiri au wa wagalatia
 
Changieni TV yenu iendelee kuishi..... ni aibu sana TV inawatangazieni imani yenu na hamna time nayo
We kam mkeo amekushinda nipe namba yake nimlee bure.
Mnashindwa kuwazuia wale manabii wanaowapiga mimba watoto wenu WA kike mnarukia TV ya wavaa kobazi? 😂
Ukafiri mzigo mkubwa sana
 
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Kwa hiyo taxation system imelenga kuwaumiza wafanyabiashara wa Kiislamu tu?
Nafikiri hapo unakosea.
 
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Wewe kichwani haupo sawa kwahiyo wafanya biashara wakristo hawakatwi hizo kodi
 
Katika angle nyingine,,, Viongozi wa dini zote wanatumia muda wao mwingi kuwahudumia waumini wao hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zingine kuwaingizia kipato hivyo ni jukumu letu sisi waumini kuwa na moyo wa kutoa sadaka ili walau na wao wawe na maisha bora.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
We kam mkeo amekushinda nipe namba yake nimlee bure.
Mnashindwa kuwazuia wale manabii wanaowapiga mimba watoto wenu WA kike mnarukia TV ya wavaa kobazi? 😂
Ukafiri mzigo mkubwa sana
Changa pesa TV imaan isimame wacha blah blah
 
Vyema sana, kuchangia harakati hizo ni mojawapo ya Sadaka.
 
Dada Mtoa Mada Bila Shaka Hiyo Tv Na Redio Imaan Itakuwa Ni Mti wenye Matunda Acheni Kuteseka Na hao Wavaa kobazi kama yule Mnazareti.
 
Yule mwingine alikimbilia Azamtv akaanzisha kipindi cha Zumari

Bwana Jafari Mponda, muimba mashairi na Qaswida
Jafar mponda, jamaa yangu huyu tukiishi wote Morogoro kwenye ule mtaa jirani na msikiti maarufu wa Dini moja mungu mmoja...kuna wakati tukiwasikilza akina Ustaadh Mazinge na timu yake kwenye ile mihadhara ya kipindi kile tulipigwa wote mabomu ya machozi break ya kwanza ilikuwa Chamwino 😂 😂
 
Back
Top Bottom