Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Hiyo TV ni ya wapi? Hawaonyeshe lig ya uengereza.Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
na hakuna hata anachokifanya pale. of course iman ni tv mojawapo ya kuwa nayo makini sana, muslim brotherhood morogoro kama sikosei, na muslim brotherhood ni shirika ambalo hata Misri lilikoanzishwa wamelidesignate kama kikundi cha kigaidi. yaani hata waislam wenyewe wamekiwekea mabado kama kikundi cha magaidi. kama ni kuhubiri imani mna uhuru huo kikatiba, ila sera za muslim brotherhood msituchafulie nchi.Yule mwingine alikimbilia Azamtv akaanzisha kipindi cha Zumari
Bwana Jafari Mponda, muimba mashairi na Qaswida
Wasikilizaji ndio wanachangaia bilioni 2 eehhhKila mwaka wasikilizaji wa radio Maria huwa wanachangia zaidi ya bilioni 2.
Kwa sasa Wana Masafa ya FM mengi kuliko radio yoyote Tanzania.
Wakipata pesa nyingi kutaanza vurugu na kituo kitaishia kufungwa.Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
True. Hii imani na vurugu ni kama bata na maji vile.Wakipata pesa nyingi kutaanza vurugu na kituo kitaishia kufungwa.
Ritz anaturuhusu kuchangia?Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Sio zote za kikristo zipo juu kimaendeleo ukitaka unapewa data bila chenga,hao waislam ni wazito kutoa sadaka 😂😂🤣🤣🤣Redio na TV channels za kidini ni majanga tu
Tatizo leo mnataka michango taasisi ikawa imara mnasema ya mtu fulani hiyo kama taasis ya mtu kwa usajili afe nayo tu kama ya umma watu wasaidie mm nkpepata shida sana kuimarisha taasiszinazojiita za kiislam mambo yakiea mazuri migogoro huanza kwa sabb viongozi husema ni zao privatelyMuislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia
Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
Una hoja mkuu usikilizweTatizo leo mnataka michango taasisi ikawa imara mnasema ya mtu fulani hiyo kama taasis ya mtu kwa usajili afe nayo tu kama ya umma watu wasaidie mm nkpepata shida sana kuimarisha taasiszinazojiita za kiislam mambo yakiea mazuri migogoro huanza kwa sabb viongozi husema ni zao privately
Huu ndo ukweliSasa Tv ya dini ulitaka iwe na vipindi gani zaidi ya kutangaza dini kwanza hao wanne ni wengi sana alitakiwa awe mmoja au sana sana wawili wakizidi.
Hujui Kama kila mwaka kila muumini mkatoliki anapewa Bahasa ya kuchangia Radio Maria?Wasikilizaji ndio wanachangaia bilioni 2 eehhh
Haya hebu leta hata kipindi kimoja kilichorushwa kumpinga papa na kuruhusu ushoga kanisa la katoliki
Hapo ndio tutajua nani anachangia....
Samahani mkuu ila sidhani km CV omment hii ilikuwa na umuhim sana hapa, ni km unadhihaki hili jambo.. umewatangazia waislam wachangie kuendesha kituo uislam uende mbele why tena uwahusishe wachungaji na manabii?Au wawashawishi wachungaji na manabii kuleta matangazo hapo kituoni, angalau hii itaongeza mapato ya kituo