Ndugu zangu UKIMWI is real

Zamani wengi walikua wakibainika wakiwa na virusi vya ukimwi (VVU).
Na kwasababu ya kutokuwepo hizi arvz na virutubisho muhimu kutokana na uelewa duni wa lishe na hali za maisha ya watu kiuchumi, kwa haraka sana wagonjwa wenye vvu walifika hatua ya Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI).

Nyakati hizi uelewa umeongezeka sana,
kinachochochea wengi kujikuta wapo katika hatua ya UKIMWI kamili ni aibu ya kujulikana anao, kujificha na fedheha za walimwengu. Anaenda kimyakimya kupima anakutwa nao anaanza dozi kisiri wenzie wasijue.

akialikwa na wenxie kwenye bata anafakamia mabia bila wasi na yupo kwenye dose, ananyandua mademu na huku anabugia arvz kisirisiri, mwisho wa siku hali inabadilika ghafla na kua mbaya mnapeleka hospitalini kama ndugu, baada ya vipimo ndio eti dokta anawafinya skio kwamba ndugu yenu yupo kwenye hali mbaya zaaid ya UKIMWI baada ya muda anarest in peace.......
 
Ukosefu wa kinga mwilini unawezaje kuhamia kutoka kwa mtu mmoja na kwenda kwa mwengine.
 
Yeah a.k.a mimi

Natesa sana napokuingia mwilini

Akina gono kaswende wote baba yao mimi

Amini mi ndo kubwa la maadui

Na leo nakuja kwako usizuge kama hunijui

Halaa
 
Ukosefu wa kinga mwilini unawezaje kuhamia kutoka kwa mtu mmoja na kwenda kwa mwengine.
Kunyanduana bila kinga, kuzama chumvini, kupigana mate, kushirikishana vitu vyenye ncha kali kama vile sindano, nyembe, n.k
 
Nipende kusema tu South Africa ndilo taifa lenye idadi kubwa ya watu wenye maambukizi ya ugonjwa feki wa ukimwi lakini ndio wanaongoza kutokutumia dawa za ARVs na wanaishi maisha marefu tofauti na wanaotumia dawa hizo za ARVs ambao hupatwa na athari pamoja na mauzi mbambali mpaka kufa mapema.

Nikweli wasouth afrika wengi wanamshukuru aliyekua raisi wao bwana thabo mbeki, aliyepewa information zote kuhusu ugonjwa huu feki na professor duesberg mwenye Nobel prize ambaye ni mbobevu na amefanya tafiti nyingi kuhusu virus hawa zaidi ya miaka 30, na amepata matatizo mengi sana lakini MUNGU ambariki kwa moyo wake ijapokua wenzake Kama professor Kary Mullis walipotezwa kutokana na kujua pia mbinu chafu ya COVID 19. Ndugu zangu wapo baadhi ya wazungu wenye mioyo mizuri wanaotupenda na wanachukizwa na ushetani huu.

Nimalizie kwa kusema shetani professor Robert galo aliyetumika kupika ugonjwa huu feki kwa mchango wa wanasiasa Kama Henry Kissinger na shetani mwingine Anthony faucci ambaye alitaka sio tu kwa wanandoa Bali watu wote kabla ya kufanya ngono, wameze kwanza dawa za PEPs. Ili kuwakinga na ugonjwa feki wa ukimwi cjui tu huu mpango wao wa kishetani uliishia wapi. hawa na wenzao wote wana moto wao wa pekee jehanamu.
 

Ko unatak utudangany et siku hiz hakun upungufu wa kinga mwilini kwenda zako [emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]

Mi nilinusilik kwa tundu la sindano nilikonda na kuugua kwa stress achen nyie
 
ebana umefunguka vema short and clear ajabu 💪🙏
 
Ko unatak utudangany et siku hiz hakun upungufu wa kinga mwilini kwenda zako [emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]

Mi nilinusilik kwa tundu la sindano nilikonda na kuugua kwa stress achen nyie
Pole sana.
 
Ko unatak utudangany et siku hiz hakun upungufu wa kinga mwilini kwenda zako [emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]

Mi nilinusilik kwa tundu la sindano nilikonda na kuugua kwa stress achen nyie
ukimwi kitu mbaya sana aise

VVU- ni mchanganyo wa makonjwa mwilini, Mathalani TB, kisukari, kuhara na kuharisha damu n.k
Sasa haya magonjwa yakiisha kuchakaza vizuri sana, kinga za mwilini wako zinakua zimetafunwa hasa, halafu sasa ndio unaingia hatua yaa....

UKIMWI -Upungufu wa kinga mwilini, hii ni hatua mbaya zaidi ambayo ni hatua ya Mwisho zaidi, muathirika anakua na upungufu wa kila kitu mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…