Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kabisaShida ni UKIMWI UNATEKETEZA FAMILIA NA TAIFA
hizi habari zinakera sana kuskia lakini tulia tu hivyo hivyo lazma tukumbushane na kuambiana ukweli aise,
ni ngumu kukaa kimya hali yakua vijana,wazee na watoto wana angamia hivi hivi unaona...
Mimi nimekumbusha nawe tekeleza wajibu wako kujinusuru na hili dubwasha......
Hakuna hizo doziKuna doctor mkubwa tuu huko mamlakani nilimsikia anasema ni hela yako tuu siku hizi kuna hadi dose ya kidonge kimoja tuu unameza kwa mwaka.
Wa tz Zaidi ya million 10 , ni +hatari sana
UKIMWI DAH...
Hapo sijakuelewa kwamba anae tumia ARV akipaka makeup inadunda?Halafu bana UKIMWI ni kitu ya ajabu sana hata upige makeup, sijui lipshine, wigi ya aina gani after very few minutes inakosa uelekeko.
Kiufupi makeup zimeganga mwamba kwenye ngoma na zinadunda vilivyo kwa mwenye Ngoma.
Nuru inapotea kabisa inaonekana Nuru artificial ya ARVs dhahiri shahiri
Halafu bana UKIMWI ni kitu ya ajabu sana hata upige makeup, sijui lipshine, wigi ya aina gani after very few minutes inakosa uelekeko.
Kiufupi makeup zimeganga mwamba kwenye ngoma na zinadunda vilivyo kwa mwenye Ngoma.
Nuru inapotea kabisa inaonekana Nuru artificial ya ARVs dhahiri shahiri
NI HUZUNI NGUVU KAZI INATEKETEA KWA KWA KUJIINGIZA KWENYE NGONO NZEMBE KWA KISINGIZIO CHA MAISHA MAGUMU.Yote haya ni matokeo ya zinaa bila ya kuwa na ndoa. Vijana wa sasa hivi wameifanya zinaa ni jambo rahisi sana kuliko ndoa acha huo ukimwi uwangamize
Ndio vizuri acha akili iwakae sawa maaana ndoa hawataki. Sasa utawashauri nini? Washakuwa vichwa vigumuNI HUZUNI NGUVU KAZI INATEKETEA KWA KWA KUJIINGIZA KWENYE NGONO NZEMBE KWA KISINGIZIO CHA MAISHA MAGUMU.
KUKUMBUSHANA BILA KUCHOKA WALA KUKATA TAMAA NI JAMBO MUHIMU SANA. NA NI WAJIBU WA KILA MOJA.Ndio vizuri acha akili iwakae sawa maaana ndoa hawataki. Sasa utawashauri nini? Washakuwa vichwa vigumu
JIHADHARI KABLA YA HATARI
UKIMWI UNAUA HAUNA TIBA...