Ndugu zangu UKIMWI is real

Ndugu zangu UKIMWI is real

sio ameukwaa hali ni tete acheni zinaa uasherati hamtaiona mbingu, mbinguni hakutaingia waasherati na wazinzi watatupwa kwenye ziwa la moto tubuni basi mrejee ndugu Yesu anarudi kuchukua watakatifu
Apostle umekemea kinabii zaidi 🤓
 
Watu hawajali tena.

Tangu 2020 tuna sheria inayoruhusu watu kujipima UKIMWI wenyewe majumbani lakini hata upatikanaji tu wa hivyo vipimo kwenye Pharmacy ni mtihani.

Haviuziki pengine ndiyo maana ila angalia vipimo vya mimba vilivyotapakaa.
 
Halafu bana UKIMWI ni kitu ya ajabu sana hata upige makeup, sijui lipshine, wigi ya aina gani after very few minutes inakosa uelekeko.

Kiufupi makeup zimeganga mwamba kwenye ngoma na zinadunda vilivyo kwa mwenye Ngoma.
Nuru inapotea kabisa inaonekana Nuru artificial ya ARVs dhahiri shahiri
 
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
pole mkuu
 
Chifu hizi stori zako zimezingatia tupo katikati ya wikend?

Haaa! usitufanyie ivo bana

Kwann usiandike stori za akina makonda tukuongezee likes hapa?
 
Gentleman ni kubayaaaa,
halafu huyu mgeni alivyo nouma, amekaa patamu kishenzi,
kukwepa yataka moyo sana.....

Ila Ukimwi?????
Ni kitu mbaya sana....
 
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Ushayakanyaga tomaso huamini mpaka uone haya emdelea kumeza dawa za kukuzia kuku
 
sawa,
kanyaga vizuri ndugu UKIMWI ni kitu mbaya sana aisee acheni mchezo.
na usije laumu sikukwambia.
na pale unapopita kavukavu ukadhani uko pekeako, na uko safe chunguza vizuri kuepuka majutrooo.....
 
UGONJWA UMEUA NDUGU ZSNGU WENGI.

KAMA UMEUA BABA LAZIMA UTAUA NA BABA MKUBWA AU MAMA MDOGO
Sidhani kama kuna ukoo au familia iliyonusurika na hili Janga la UKIMWI...

Nadhani kwa namna mbalimbali familia zimeguswa na zimegongwa sana na UKIMWI
 
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Ulishawahi kumuliza daktari yeyote au mtu wa maabara kama alishawahi kumuona kirusi wa HIV hata kwenye microscope.
 
Back
Top Bottom