Ndugu zangu UKIMWI is real

Ndugu zangu UKIMWI is real

Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Hasa kwenye vikoba huko kunamaliza sana jamii
 
Kuna Mtu kasema ukimwi Siyo REAL?
 
Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini unaosababushwa na HIV
Zamani walikuwa wanasema Acha Iniue Dogodogo Siachi

Anyway wale wa kampeni ya mkono wa sweta ndiyo wamechochea tatizo maana walikuwa wanauambia umma ukivua sleeve chances za kupigwa short ya umeme ni ndogo sana au hakuna kabisa, watu wakaona kumbe!!!
 
Pole zingatia dawa bro
usijiaminishe kabisa eti mtoto dogodogo pisi kali hana chembe ya alama ngoja nianzie chumvini, Gentleman 🙄 hizo ni arv drugz .UKIMWI ni mbaya aisee......
 
Wewe ni mtumishi kada ya afya?
inakua vigumu mno kukaa kimya huku kila leo tunapumzisha wanafamilia, ndugu , jamaa na marafiki tukijificha na kupeana moyo eti ni sukari na presha ndio imemsumbua........ My friend UKIMWI ni kitu mabaya sana kaa chonjo, baki njia kuu....
 
Hakuna asiyejua ngoma inaua, na hakuna asiyejua ngomq ni kitu mbaya...

Umetoa takwimu hapo juu, na ndio sababu ya kukuuliza kama wewe ni mtumishi sekta ya afya...
 
Mm kwa mika 10 ilopita sijawahi ona mtu kafa kwa ngoma .sio watu hawana ngoma ila imepunguzwa sana ukali na haya madawa .miaka ya 1990 hadi 2000 nilikuwa sijawahi Malika mwezi sijazika mtu kafa na ukimwi.sasa umri tegemewa kuishi ni 53 hapa Tanzania. Watu wanapata sana moto kwenye 25 hadi 35 sasa ma dawa ya kuongeza Kinga guarantee miaka 30 hivo wanajikuta waathilika wanauliwa na ajali vurugu etc sio ngoma
 
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Dah ndio ushaukwaa mkuu?
 
Back
Top Bottom