Ndugu zangu UKIMWI is real

Ndugu zangu UKIMWI is real

Dah ndio ushaukwaa mkuu?
hii kitu ni mbaya aise, sasaivi tuna zika na afya yako ikiwa nzuri kimuonekano wa nje lakini kiundani imeoza kabsaa dahh........
unanyandua huku ukikunjuka na mahope kibao kwamba hapo hakuna shida.....

ila ndugu yangu ukimwi upo jihadhari kabla ya hatari usizembee tukakukosa humu Jf.......
 
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Siku hizi hizi vituo vya kupima ukimwi vinakuwa na maswali na mlolongo mwingi sana,,

Kwa kwl wanachangia kudhohofisha walengwa kujuwa fya zao..
 
Mm kwa mika 10 ilopita sijawahi ona mtu kafa kwa ngoma .sio watu hawana ngoma ila imepunguzwa sana ukali na haya madawa .miaka ya 1990 hadi 2000 nilikuwa sijawahi Malika mwezi sijazika mtu kafa na ukimwi.sasa umri tegemewa kuishi ni 53 hapa Tanzania. Watu wanapata sana moto kwenye 25 hadi 35 sasa ma dawa ya kuongeza Kinga guarantee miaka 30 hivo wanajikuta waathilika wanauliwa na ajali vurugu etc sio ngoma
sikuizi UKIMWI umejificha kwenye sukari na shinikizo la damu.......

za ndani zaidi kwenye siku za maombolezo ukielezwa historia ya mwenda zake, unaona kabisa hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini lakini amekufa kwa ngoma........

UKIMWI NI HATARI BAKI NJIA KUU
 
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".

Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.

Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.

Usiogope.....

Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.

UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Ngoma iko sana tu
 
Nimegundua JF members wengi wameungwanishwa kwenye Grid ya tanescy.
Polen sana.mnatia matumaini
😀Asante sana kwa niaba yangu na memberz wengine wote,
ILA BAKI NJIA KUU UKIMWI UPO NA UNAUA KWA FEDHEHA NA AIBU GENTLEMAN
 
Siku hizi hizi vituo vya kupima ukimwi vinakuwa na maswali na mlolongo mwingi sana,,

Kwa kwl wanachangia kudhohofisha walengwa kujuwa fya zao..
😀 Usiogope kuwa jasiri kama ulivyokua unanyanduka.....

KUPIMA NI BURE, USHAURI BURE , ARVs BURE....

JIHADHARI NA UKIMWI NI GONJWA HATARI LISILO NA TIBA BALI KINGA
 
Hakuna asiyejua ngoma inaua, na hakuna asiyejua ngomq ni kitu mbaya...

Umetoa takwimu hapo juu, na ndio sababu ya kukuuliza kama wewe ni mtumishi sekta ya afya...
NI KUBAYA SANA AISEE ACHA KABISA NI HATARI.......

ZINGATIA ZAIDI KUJIHADHARI NA KUJIKINGA NA GONJWA HILI HATARI LA UKIMWI
 
Kuna doctor mkubwa tuu huko mamlakani nilimsikia anasema ni hela yako tuu siku hizi kuna hadi dose ya kidonge kimoja tuu unameza kwa mwaka.
Ni kwenye mkuu hizi Dawa za kila week zinawaaribu watu akili
 
Back
Top Bottom