Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
Usiku na mchana, nimefanya bidii kuwagawia chakula cha uzima. Muda umefika sasa wa mimi kuondoka na kwenda Yerusalemu, Yudea, Samaria, na hata miisho ya dunia ili niwe shahidi wa Yesu Kristo katika maeneo hayo pia (Matendo 1:8).
Tuzidi kuombeana ili Yesu akija atunyakue sote, asiwepo hata mmoja atakayeachwa katika dhiki kuu.
Soma Pia: Kwaherini ndugu zangu wa JF
Mungu akipenda tutaonana tena.
Bye for now, I’m logging out. 👋
Tuzidi kuombeana ili Yesu akija atunyakue sote, asiwepo hata mmoja atakayeachwa katika dhiki kuu.
Soma Pia: Kwaherini ndugu zangu wa JF
Mungu akipenda tutaonana tena.
Bye for now, I’m logging out. 👋