Huko miisho ya dunia kuna pisi kama za kimboka au shivaz..?Muda umefika sasa wa mimi kuondoka na kwenda Yerusalemu, Yudea, Samaria, na hata miisho ya dunia
heshimu mtumishi wa Mungu ewe mmataifa na mtoza ushuruWewe nenda tu na wala usirudi tena hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Una hati ya kusafiria? Isije kuwa kama wasabato wa mwaka uleeeeee.
Au unaenda kufata wese View attachment 3573351
Lol😆Ayubu 1:21
''Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe"
Imeisha hiyoooooooooooooLol😆