Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Asije akawa kama Abood wa morogoro,alichukua viwanda akaanza kufugia mbuzi,kisha waluguru na wengineo hapo mkoani ikawa wakifiwa anawapa mabasi ya kwenda kuzikia,ndivyo alivyowazamisha wanamorogoro,

Kauli ilinenwa na hayati Magufuli alipokuwa na ziara ya kikazi mkoani humo
 
Ujinga ni mtaji mkubwa wa watawala, Asas ni businessman sio politicians. Unajua wewe utajiri wake huu umetokana na nini? Songea kule hawa jamaa wameua tembo wetu wengi tu, na sasa wanakuwa rewarded na vyeo hivi ili wajifiche zaidi. It's craze.
 
Asije akawa kama Abood wa morogoro,alichukua viwanda akaanza kufugia mbuzi,kisha waluguru na wengineo hapo mkoani ikawa wakifiwa anawapa mabasi ya kwenda kuzikia,ndivyo alivyowazamisha wanamorogoro,

Kauli ilinenwa na hayati Magufuli alipokuwa na ziara ya kikazi mkoani humo
Anafugia Mbuzi
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Kuna mfanyabiashara, simsemi alikuwa anawanunua Wapinzani toka 1995? kule pande za Mtera Dam ili rafiki yake apite ubunge bila kupingwa.
 
Waswahili wakinunuliwa gari la kubeba marehemu umewam
Watu wengine buana!
Huo ubunge umsaidie nini nje ya biashara na utajiri wake?
Jifunzeni ya Morogoro mjini na Mbunge wake tajiri anavyo nunua viwanja vyote mjini kwa shari na halali.
aliza kabisaaaa, hata kama alinunua kiwanda akabadilisha matumizi watu wakakosa ajira inatosha 😂
 
Back
Top Bottom