Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Watu wengine buana!
Huo ubunge umsaidie nini nje ya biashara na utajiri wake?
Jifunzeni ya Morogoro mjini na Mbunge wake tajiri anavyo nunua viwanja vyote mjini kwa shari na halali.
Awa mbunge aisaidie zaidi jamii ya iringa mjn...huoni faida wanazopata wananchi wa Jimbo la makambako kwa JAH PEOPLE
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.

Tushaanza kuwapa watu vyeo sababu ya wema
 
Asije akawa kama Abood wa morogoro,alichukua viwanda akaanza kufugia mbuzi,kisha waluguru na wengineo hapo mkoani ikawa wakifiwa anawapa mabasi ya kwenda kuzikia,ndivyo alivyowazamisha wanamorogoro,

Kauli ilinenwa na hayati Magufuli alipokuwa na ziara ya kikazi mkoani humo
Tuwe na Imani na bwana ASAS NI mtu wa watu sana
 
UJINGA ni mtaji mkubwa wa watawala, Asas ni businessman sio politicians,...unajua wewe utajiri wake huu umetokana na nini?,Songea kule hawa jamaa wameua tembo wetu wengi tu,na sasa wanakuwa rewarded na vyeo hivi ili wajifiche zaidi, it's craze
Kwahyo ww unashida na utajir wa mtu kwann naww usiende ukawinde uwe tajr
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Kwa nini asiendelee na moyo huohuo wa kuwasaidia watu na kugawa maziwa bure?Hata hivyo,kazi zake binafsi ambazo ni "nyingi" atamuachia nani?
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Mtu huyo ni mfanyabiashara, utu wake Kwa watu sio kwaMba ndo tumpe uongozi. Swala la kusaidia ni tofauti na loyalty ya mtu katika uongozi. Au wewe ndo amekutuma kama chawa wake??... Naanza kuwa na shaka na huo msaada wake huyo assas, itakua ni rushwa, kama sivyo Kwa nini utumwe na yeye kuleta Uzi kama huu???

Kiukweli kama yeye anataka uongozi akachukue form, aseme sera yake, sio aje na kiki ya kusaidia wasiojiweza. Watu wa Jimbo la rungwe mbeya, yaliwakuta magumu walipomchagua Sauli Kwa kigezo Cha namna iyo.
Na majimbo mengine ni Vizuri tuwe makini na wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom