Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Umetawaliwa na mawazo ya kimasikini kama waliyo nayo watu wa Morogoro mjini, Singida mjini wakati wa MO nk kwamba amayetoa misaada kwa ukwasi wake ndio anastahili ubunge badala ya kuja na mawazo endelevu.
Wenye akili wanahitaji mawazo endelevu sio msaada wa maziwa na sukari
Nipo hapo kwenye maziwa na sukari!
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Amekupa bei gani?

Tuanzie hapo
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Hawezi kupata wala usimdanganye, Iringa unaujua vzr?
Kwahiyo hayo maziwa yaliyogawiwa siku ya maziwa duniani ndo sbb ya ye kuvaa kuwa mbunge?
Wabongo tuna safari ndefu
 
Sawa braza
275487048.jpg
 
Mkuu una uhakika hauna vielement vya udumavu njoo uchukue lita 20 za maziwa ya assas hapa🤣
Iringa Manispaa ni Halmashauri inayoongoza miongoni wa nyinginezo zenye wingi wa udumavu.
NB:Una uhakika haujashiba ulanzi wa barabara-mbili na bagia za stendi "komredi"?
 
Ila we jamaa ww🤣🤣 aisee huu Uzi umekuja mida mibaya watu washalewa
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Ubunge unatolewa kama fadhila?Asante?hii nchi ndio maana hatuendelei upuuzi mtupu
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Maziwa kwa Ubunge
 
Iringa Manispaa ni Halmashauri inayoongoza miongoni wa nyinginezo zenye wingi wa udumavu.
NB:Una uhakika haujashiba ulanzi wa barabara-mbili na bagia za stendi "komredi"?
Hoja yako ni yauongo bwana
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
... huyu si ndiye mwenye mgahawa fulani kule Dodoma CBD? Ndizi nyama 10,000? Huyu atatusaidia nini sisi maskini?
 
Back
Top Bottom