Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Ubunge hautolewi km zawadi km unampenda Mwl nyerere aliwahi sema km unampenda mtu kampe Chai hotelini
 
Kwanini na ww usiwe fisadi acha wivu fanya kazi...syo unabaki kupakazia watu majina ya ufisadi kwani ww kuwa fisadi umekatazwa kiazi we!
Mimi ninaishi maisha yenye haki, siwezi kuhujumu mali ya umma kwa masilahi yangu binafsi, mkuu ninaujua mno mkoa wa Iringa, nimesoma pale Mkwawa CNE na huyu Asas chanzo cha utajili wake sio clean money kwa taarifa yako, jimbo la Iringa always lilikua linaongozwa na wabunge makini wenye uchungu na nchi yao ref.Mbunge Z.Mwaduna(alikua lecture pale Mkwawa CNE),akina Jackson Makweta, Tuntemeke Sanga wote hawa ni clean MPs kutoka Iringa, usituletee uchafu
 
Baki na haki yako achana na kufatilia maisha ya Watu na kuwapakizia majina mabaya
 
Watu wengine buana!
Huo ubunge umsaidie nini nje ya biashara na utajiri wake?
Jifunzeni ya Morogoro mjini na Mbunge wake tajiri anavyo nunua viwanja vyote mjini kwa shari na halali.

Wampe ili alinde biashara zake zaidi
 
Back
Top Bottom