Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kwa hiyo ubunge ni zawadi na siyo uwajibikaji?ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Mwekezaji anapewa Ubunge na baada ya hapo nani atawaunganisha wananchi kwa ajili ya maendeleo yao?
ASAS anatafuta unafuu wa uwekezaji wake ndo maana amekutuma uanze kutengeneza mazingira.
Yule DC alimfanyia kampeni na yeye akapaishwa Halimashauri Kuu. Kifuatacho ni syndicate kubebana during election kuanzia kura za maoni.
Dawa ni moja tu. Kuipiga chini CCM kwenye uchaguzi mkuu. Hata walete malaika mjue watamchakachua akiwa madarakani