Asije akawa kama Abood wa morogoro,alichukua viwanda akaanza kufugia mbuzi,kisha waluguru na wengineo hapo mkoani ikawa wakifiwa anawapa mabasi ya kwenda kuzikia,ndivyo alivyowazamisha wanamorogoro,ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
Anafugia MbuziAsije akawa kama Abood wa morogoro,alichukua viwanda akaanza kufugia mbuzi,kisha waluguru na wengineo hapo mkoani ikawa wakifiwa anawapa mabasi ya kwenda kuzikia,ndivyo alivyowazamisha wanamorogoro,
Kauli ilinenwa na hayati Magufuli alipokuwa na ziara ya kikazi mkoani humo
Kashiba Mtindi Wa ASAS Anaj*mb*TuNdo amekutuma umsemee humu au shobo zako tu baada ya kushba yogati zake za bure!
Ili aendelee kuabudiwa, pathetic [emoji817]Anafugia Mbuzi
Kuna mfanyabiashara, simsemi alikuwa anawanunua Wapinzani toka 1995? kule pande za Mtera Dam ili rafiki yake apite ubunge bila kupingwa.ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, BEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
aliza kabisaaaa, hata kama alinunua kiwanda akabadilisha matumizi watu wakakosa ajira inatosha 😂Watu wengine buana!
Huo ubunge umsaidie nini nje ya biashara na utajiri wake?
Jifunzeni ya Morogoro mjini na Mbunge wake tajiri anavyo nunua viwanja vyote mjini kwa shari na halali.