Ndugu zangu wadau, hivi ni kwa nini viwanda vyetu havidumu licha ya kuwa na soko la uhakika?

Ndugu zangu wadau, hivi ni kwa nini viwanda vyetu havidumu licha ya kuwa na soko la uhakika?

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Kulikuwa na kiwanda Cha mafuta ya kupikia mazuri sana, VOIL, Tanbond, Mafuta ya karanga, kiwanda Cha mbolea Tanga, kanga nzuri sana za urafiki, nk
 
Back
Top Bottom