Tulia Ackson kutwa kuchwa anapigia chapuo DP W nae atakuwa rais yuleTusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
Ni wachache sanaNimemshangaa sana huyo jamaa eti masheikh hawana elimu.
Kuna sheikh wa mkoa fulani nafahamu vema ana elimu ya secular level ya masters halafu hapo bado ana elimu ya quran.
Aise usione mtu kachaguliwa kuwa sheikh wa mkoa usimchukulie poa elimu zote mbili zimelala vizuri.
Hajioni tu kuwa mjinga ni yeyeJamaa analazimisha kwamba yeye ni muislamu [emoji28][emoji28].
Hta ukejeli wapi? Wamepiga vita world's superpower countries wapi?
Wakatoriki wana PHD za Nyanja zote.Hiyo PhD ya upande unaosema wamesoma ni PhD ya theolojia sio ya elimu ya kawaida.
Hivi huko madrassa huwa mnafundishwa kujambeer na mengine kama hayo?Hili nalo ni tatizo sugu la "kujambeerjaambeeer" mbele za watu ....
Ukikikosoa kitu hebu uwe umekisoma vizuri ...kuisoma historia yake vizuri....
Ni mpumbavu gani aliyekulisha maneno kuwa ili uwe msomi wa kiislam ni "kumeza" tu na kuujua msahafu(Furqan) pekee ?!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Yaani hujui JURISPRUDENCE (Fiqh) uwe shaykh ?!! [emoji15]
Na Fiqh haibobewi kwa miaka 5 kama kusoma udaktari wa binadamu....
Yaani hujui LUGHAT UL ARABIYA ili ujue (tafsir il quraan) uwe shaykh ?!!!
Yaani hujui SHARH (sherehe) ya wanazuoni (maprofesa) wa kutumainiwa juu ya kuifasiri hiyo Quraan kwa maana ya NDANI na NJE....kwa kuvisoma vitabu vyao lukuki halafu uwe shaykh ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Yaani hujui SIRAT UN NABAWIYA (history) ya uislam toka mazazi ya mtume SAW mpaka "khilafa" zote halafu uwe shaykh ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Yaani hujui HADEETH....na kuzama katika bahari yake halafu uwe shaykh ?!!!
Yaani hujui "Ijma wal Qiyaas" halafu uwe shaykh ?!!!
Yaani hujui "Rhetoric- grammar ,persuasion ,logic"- balagha halafu uwe shaykh ?!!!
Yaani huijui HISTORIA ya dunia....mawanda yake....tawala zake halafu uwe shaykh ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Tuondolee ujuha na usakala wako hapa
Hivi shule ulikwenda kusomea "kupakwa mafuta" ili "matuuunduuurrr" ya mwili wako yawe "ng'wenyu"?!!! [emoji1787][emoji1787]
Kwanini imewekwa hivyo kwamba lazima hadi umalize form 6 ndio uweze kusomea theology?Ni wachache sana
Mfano ili usomee theology au upadri utaratibu unatakiwa umalize form six
Kwenye kusomea elimi ya quran huihitaji umalize form six ndo usome
Ndo iko hivyo tokea zaman huwez maliza la saba ukasomee theology, hata form four kuna ugumuKwanini imewekwa hivyo kwamba lazima hadi umalize form 6 ndio uweze kusomea theology?
We nawe tr26 zimeandikwa wapi? Hayo ni maneno tu kama ya gas Mtwara kuwa Nchi imepata neema na Mtwara kutakuwa kama ulaya. Haya mambo hayapo ya tilioni 26, kwa wenye ufahamu wanapenda kuona mkataba wa muda kama kuna maslahi waendelee na kama akuna basi waondoke kama ticks, sio kuingia mazima milele!Kwa hiyo waislamu ndio wanaounga mkono uwekezaji wa DP WORLD ?!!![emoji15][emoji15]
Huu nao ni udini wa BAYANA kabisa......
Ninyi wafia dini mnataka mtutoe kwenye reli ya MAENDELEO ya taifa letu ?!!!
Haya basi "uzae ujiishie" tuleteeni hao wataliano ambao watatupa trilioni 80 kila "fiscal year" ili tusione umuhimu wa zile trilioni 26 za hao "wavaa kanzu" hapo TPA.....
Kwa sabababu mfumo wa Seminary ndogo ndivyo ulivyo,lazima uanze na O'level kisha A'level ndiyo uende sasa Ntungamo au Kibosho Seminary kwa ajili ya kusomea philosopy kwa miaka miwili kisha unapanda Seminary Kuu ambayo ni Kipalapala au Segerea Seminary kwa masomo ya Theologia kwa miaka minne ukifanikiwa kumaliza vizuri unapewa daraja la Ushemasi kisha Upandre.Huwezi kuwa Padre kama hujasoma si chini ya miaka 12.Kwa maana ya Secondary (6yrs) na Philosphy na Theology (6yrs)Kwanini imewekwa hivyo kwamba lazima hadi umalize form 6 ndio uweze kusomea theology?
Unadhani hiyo inasaidia kwa namna gani?Ndo iko hivyo tokea zaman huwez maliza la saba ukasomee theology, hata form four kuna ugumu
Njia rahis ni ufaulu form six ndo uende ukasomee theology
Inasaidia kuwapata Mapadre na Maaskofu wenye IQ Kubwa.Unadhani hiyo inasaidia kwa namna gani?
Kwahiyo ni kwa faida za kidunia zaidi?Inasaidia kuwapata Mapadre na Maaskofu wenye IQ Kubwa.
Ili waweze kuwa watumishi makini wa Kanisa la Kristo.
Kwenda Upadre kunahitaji maksi za ufaulu zinazo zidi ya zile za kujiunga na Chuo Kikuu.
Yaani upate A.A.A.A Form Six.
Sio mtu anakuwa 0% IQ, halafu anaongozwa Kanisa la Kristo. Akikutana na Wasomi ataongea nini cha maana.
Atawezaje kumshauri mtu mwenye PHD.?
Ndio Maana TEC wanaandika mambo ya msingi wengine wanamwandama TEC.
Jibu hoja zao kama una ubavu.
Huwezi kuwa "GRADUATE" wa Madrasa ukwa na akili ya kubadilika
Huu ni ukweli mtupu japo watu watasema ni udini
Anagalia hata hoja za masheikh kwenye swala la bandari ni nyepesi mno kwanza wengi hata hawaelewi mkataba unahusu nini hasa ni kama wanapinga tu ili mradi kuleta upinzani
Hapana ni utii wa Neno la Mungu.Kwahiyo ni kwa faida za kidunia zaidi?
Tatizo faida ulizoeleza ndio zimefanya niulize hivyo.Hapana ni utii wa Neno la Mungu.
Mithali 4:13
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.