Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
Tulia Ackson kutwa kuchwa anapigia chapuo DP W nae atakuwa rais yule
 
Nimemshangaa sana huyo jamaa eti masheikh hawana elimu.

Kuna sheikh wa mkoa fulani nafahamu vema ana elimu ya secular level ya masters halafu hapo bado ana elimu ya quran.

Aise usione mtu kachaguliwa kuwa sheikh wa mkoa usimchukulie poa elimu zote mbili zimelala vizuri.
Ni wachache sana
Mfano ili usomee theology au upadri utaratibu unatakiwa umalize form six

Kwenye kusomea elimi ya quran huihitaji umalize form six ndo usome
 
Ila tukisema tatizo kwa waislamu ni kwamba hawana elimu huwa najiuliza hivi hawa viongozi wetu wa nchi mambo wanayofanya nao ni kukosa elimu ama vp?
 
Hiyo PhD ya upande unaosema wamesoma ni PhD ya theolojia sio ya elimu ya kawaida.
Wakatoriki wana PHD za Nyanja zote.

Wakatoriki wana PHD hadi za Islamic Religioni.

Humkumbuki yule Padri aliye Swalisha sala msikitini kule Songea?

Wakatoriki ndio chimbuko la Elimu ya Dunia.

Mi napendekeza Wakatoriki wachukue nafasi ya Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Nchi itaenda vizuri sana maana hakuna wa kuwa babaisha hata kimaslahi.
 
Hili nalo ni tatizo sugu la "kujambeerjaambeeer" mbele za watu ....

Ukikikosoa kitu hebu uwe umekisoma vizuri ...kuisoma historia yake vizuri....

Ni mpumbavu gani aliyekulisha maneno kuwa ili uwe msomi wa kiislam ni "kumeza" tu na kuujua msahafu(Furqan) pekee ?!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Yaani hujui JURISPRUDENCE (Fiqh) uwe shaykh ?!! [emoji15]

Na Fiqh haibobewi kwa miaka 5 kama kusoma udaktari wa binadamu....

Yaani hujui LUGHAT UL ARABIYA ili ujue (tafsir il quraan) uwe shaykh ?!!!

Yaani hujui SHARH (sherehe) ya wanazuoni (maprofesa) wa kutumainiwa juu ya kuifasiri hiyo Quraan kwa maana ya NDANI na NJE....kwa kuvisoma vitabu vyao lukuki halafu uwe shaykh ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Yaani hujui SIRAT UN NABAWIYA (history) ya uislam toka mazazi ya mtume SAW mpaka "khilafa" zote halafu uwe shaykh ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Yaani hujui HADEETH....na kuzama katika bahari yake halafu uwe shaykh ?!!!

Yaani hujui "Ijma wal Qiyaas" halafu uwe shaykh ?!!!

Yaani hujui "Rhetoric- grammar ,persuasion ,logic"- balagha halafu uwe shaykh ?!!!

Yaani huijui HISTORIA ya dunia....mawanda yake....tawala zake halafu uwe shaykh ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Tuondolee ujuha na usakala wako hapa

Hivi shule ulikwenda kusomea "kupakwa mafuta" ili "matuuunduuurrr" ya mwili wako yawe "ng'wenyu"?!!! [emoji1787][emoji1787]
Hivi huko madrassa huwa mnafundishwa kujambeer na mengine kama hayo?

Inaonekana kama vile kuna kipindi maalum cha matusi huko madrassa, mnajifunza vizuri sana.
 
Ni wachache sana
Mfano ili usomee theology au upadri utaratibu unatakiwa umalize form six

Kwenye kusomea elimi ya quran huihitaji umalize form six ndo usome
Kwanini imewekwa hivyo kwamba lazima hadi umalize form 6 ndio uweze kusomea theology?
 
Kwa hiyo waislamu ndio wanaounga mkono uwekezaji wa DP WORLD ?!!![emoji15][emoji15]

Huu nao ni udini wa BAYANA kabisa......

Ninyi wafia dini mnataka mtutoe kwenye reli ya MAENDELEO ya taifa letu ?!!!

Haya basi "uzae ujiishie" tuleteeni hao wataliano ambao watatupa trilioni 80 kila "fiscal year" ili tusione umuhimu wa zile trilioni 26 za hao "wavaa kanzu" hapo TPA.....
We nawe tr26 zimeandikwa wapi? Hayo ni maneno tu kama ya gas Mtwara kuwa Nchi imepata neema na Mtwara kutakuwa kama ulaya. Haya mambo hayapo ya tilioni 26, kwa wenye ufahamu wanapenda kuona mkataba wa muda kama kuna maslahi waendelee na kama akuna basi waondoke kama ticks, sio kuingia mazima milele!
 
Kwanini imewekwa hivyo kwamba lazima hadi umalize form 6 ndio uweze kusomea theology?
Kwa sabababu mfumo wa Seminary ndogo ndivyo ulivyo,lazima uanze na O'level kisha A'level ndiyo uende sasa Ntungamo au Kibosho Seminary kwa ajili ya kusomea philosopy kwa miaka miwili kisha unapanda Seminary Kuu ambayo ni Kipalapala au Segerea Seminary kwa masomo ya Theologia kwa miaka minne ukifanikiwa kumaliza vizuri unapewa daraja la Ushemasi kisha Upandre.Huwezi kuwa Padre kama hujasoma si chini ya miaka 12.Kwa maana ya Secondary (6yrs) na Philosphy na Theology (6yrs)
Kumbuka hapo pana mwaka wa kichungaji pia.Jumla ni 13yrs ndiyo unapewa daraja la Upadre.
 
Unadhani hiyo inasaidia kwa namna gani?
Inasaidia kuwapata Mapadre na Maaskofu wenye IQ Kubwa.
Ili waweze kuwa watumishi makini wa Kanisa la Kristo.

Kwenda Upadre kunahitaji maksi za ufaulu zinazo zidi ya zile za kujiunga na Chuo Kikuu.
Yaani upate A.A.A.A Form Six.

Sio mtu anakuwa 0% IQ, halafu anaongozwa Kanisa la Kristo. Akikutana na Wasomi ataongea nini cha maana.
Atawezaje kumshauri mtu mwenye PHD.?
Ndio Maana TEC wanaandika mambo ya msingi wengine wanamwandama TEC.
Jibu hoja zao kama una ubavu.
 
Wakristo hawana chuki dhidi ya Waislamu, maana twafundishwa upendo
 
TEC shida yao kubwa ni mkataba na raslimali za nchi kufujwa na siyo uislam kama propoganda inavyo sema. Hapa shule inahitajika.
 
Inasaidia kuwapata Mapadre na Maaskofu wenye IQ Kubwa.
Ili waweze kuwa watumishi makini wa Kanisa la Kristo.

Kwenda Upadre kunahitaji maksi za ufaulu zinazo zidi ya zile za kujiunga na Chuo Kikuu.
Yaani upate A.A.A.A Form Six.

Sio mtu anakuwa 0% IQ, halafu anaongozwa Kanisa la Kristo. Akikutana na Wasomi ataongea nini cha maana.
Atawezaje kumshauri mtu mwenye PHD.?
Ndio Maana TEC wanaandika mambo ya msingi wengine wanamwandama TEC.
Jibu hoja zao kama una ubavu.
Kwahiyo ni kwa faida za kidunia zaidi?
 
Huwezi kuwa "GRADUATE" wa Madrasa ukwa na akili ya kubadilika

al-Khwārizmī, in full Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī, (born c. 780 —died c. 850), Muslim mathematician and astronomer whose major works introduced Hindu-Arabic numerals and the concepts of algebra into European mathematics. Latinized versions of his name and of his most famous book title live on in the terms algorithm and algebra.

Huyo ni miongoni mwa magraduate wa madrasa
 
Huu ni ukweli mtupu japo watu watasema ni udini
Anagalia hata hoja za masheikh kwenye swala la bandari ni nyepesi mno kwanza wengi hata hawaelewi mkataba unahusu nini hasa ni kama wanapinga tu ili mradi kuleta upinzani

Kwani hoja za Maaskofu za maana ni zipi zaidi ya kupambania maslahi yao tuh ya kupitisha magendo pale bandarini??
 
Back
Top Bottom