Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

Hamna kitu ni mastory tu ambayo hayana ushahidi.
 
Waislam hatuhitaji kitu chochote kutoka serikalini. Sasa hivi tunachotaka serikali izuwie misaada yote inayotoka serikalini kwenda taasisi za kidini. Pia izuwie misamaha yote ya kodi ya taasisi zote za kidini, tulipie vitu vyote vinavtoletwa kwa ajili ya taasisi za kidini ushuru kamili.

Kuna taasisi za kidini zimekuwa vituo vya biashara.
 
Hivi huko madrassa huwa mnafundishwa kujambeer na mengine kama hayo?

Inaonekana kama vile kuna kipindi maalum cha matusi huko madrassa, mnajifunza vizuri sana.
Kujamba na kutawadha[emoji1787]
 
Tatizo faida ulizoeleza ndio zimefanya niulize hivyo.
Ina maana Umesahau kabisa siku ya kwanza Mtume alipokutana na Malaika aliambiwa Neno gani la kwanza.
Umejiuliza ni kwanini kabla ya yote aliambiwa hilo neno?
"'iiqra ya nabi" إقرأ يا نبي
 
Masakala ni wa kuwashangaa ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Mandwanye hao....
 
Hiyo PhD ya upande unaosema wamesoma ni PhD ya theolojia sio ya elimu ya kawaida.
theolojia ni elimu ya dini.vipi falsafa ni elimu ya nini??
kwa RC hizo ni 2 tu padre wa kawaida lazima awe nazo,achana na elimu baki ya uzamivu unakuta padre ni mwalimu pia wa chuo au sekondari.
 
Wenzenu TEC wamechukua point 3.
 
theolojia ni elimu ya dini.vipi falsafa ni elimu ya nini??
kwa RC hizo ni 2 tu padre wa kawaida lazima awe nazo,achana na elimu baki ya uzamivu unakuta padre ni mwalimu pia wa chuo au sekondari.
RC wana PHD za Nyanja zote.
Hadi PHD za Islamic Religion wanazo.

Yaani Askofu ana PHD ya Dini ya Kiislamu.
Shauri zao.
 
Waislam hatuhitaji kitu chochote kutoka serikalini. Sasa hivi tunachotaka serikali izuwie misaada yote inayotoka serikalini kwenda taasisi za kidini.
😅😅tunatoa sadaka bibi,usije danganywa kuna hela ya maana inatoka serikalini kufadhili makanisa.
Pia izuwie misamaha yote ya kodi ya taasisi zote za kidini, tulipie vitu vyote vinavtoletwa kwa ajili ya taasisi za kidini ushuru kamili.
bado hakuna kitachobadilika ktk waislam,maana huwa mnaagiza nini zaidi ya misaafu na tende😂😂.
Kuna taasisi za kidini zimekuwa vituo vya biashara.
huu ni mkakati wa kujitegemea,dini ya kikristo popote lazina iende na 3 figure,kiakili,kiafya na kiroho.
katika hayo mambo 3 biashara lazima ziibuke.
 
RC wana PHD za Nyanja zote.
Hadi PHD za Islamic Religion wanazo.

Yaani Askofu ana PHD ya Dini ya Kiislamu.
Shauri zao.
waache waatamie makagari tu kwa ndoto za kutotoa vifaranga hapo😅😅😅
 
Sisi sasa hatutaki hata hizo kidogo ziende kokote bali ziende kwenye miradi ya kimkakati yenye manufaa kwa Watanzania wote.

Hatujali kama misamha ya kodi na pesa zinaenda kwenye taasisi ipi ya kidini. Ni wakati dini zikabaki kwa dini na serikali ibaki kuwa serikali, au labda Tanzania itangzwe ni nchi ya dini fulani.

Zipo nchi duniani zimeweka wazi kabisa kuwa kama siyo dini fulani huongozi. Uingereza kama siyo Muanglikana huongozi. Iran kama siyo Muislam huongozi. Ureno kama siuyo mkatoliki huongozi.

Hiyo ni mifano michache tu lakini zipi nchi nyingi duniani zilizojiegemeza kwenye dini fulani.

Tanzania tulidanganywa kuwa hatufungamani na upande wowote, lakini tunaona vitendo ni kinyume na tunavyohubiri.
 
Sisi sasa hatutaki hata hizo kidogo ziende kokote bali ziende kwenye miradi ya kimkakati yenye manufaa kwa Watanzania wote.
miradi ipi iliyokwama au kusua sua kwa sababu ya fungu lake kwenda kwenye taasisi!!!
Hatujali kama misamha ya kodi na pesa zinaenda kwenye taasisi ipi ya kidini. Ni wakati dini zikabaki kwa dini na serikali ibaki kuwa serikali, au labda Tanzania itangzwe ni nchi ya dini fulani.
yote haya sababu mujahdeen tumekosa cha kusamehewa kodi!!!
vipi na huduma anazopewa mufti mkuu,zisitishwe apambane na hali yake right!!!
Zipo nchi duniani zimeweka wazi kabisa kuwa kama siyo dini fulani huongozi. Uingereza kama siyo Muanglikana huongozi. Iran kama siyo Muislam huongozi. Ureno kama siuyo mkatoliki huongozi.
hilo sio tatizo,tatizo ni pale utakapoanza kuweka ukatoliki,uanglikana au uislam mbele kuliko maslahi ya taifa kwa ujumla.
Hiyo ni mifano michache tu lakini zipi nchi nyingi duniani zilizojiegemeza kwenye dini fulani.

Tanzania tulidanganywa kuwa hatufungamani na upande wowote, lakini tunaona vitendo ni kinyume na tunavyohubiri.
kilichofanyika kwa waislam nu kuzubaa halafu kutafuta wa kumlaumu baada ya kufeli.
wakati maeneo mliyipewa baadhi mkiyauza wenzenu wanaomba mengin,miaka 20 ijayo hoja mezani ni hii hii.
 
Elimu na ushehe mbingu na ardhi
 
Hamna kitu ni mastory tu ambayo hayana ushahidi.

Hamna kitu??wikipedia wakuwekee mastory??

Nenda kagoogle mwenyewe ujionee,je umestaajabu eeh??huamini hadi unasema mastory...

Ndo ujifunze sasa kuwa na adabu
 
Hivi huko madrassa huwa mnafundishwa kujambeer na mengine kama hayo?

Inaonekana kama vile kuna kipindi maalum cha matusi huko madrassa, mnajifunza vizuri sana.

Ndiyo kusema wale wanofundishwa kukanyaga mafuta ya upako na kuuziwa mchanga ni bora sana siyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…