Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

....kinyume chake ,KAOKOTWA yeye [emoji1787][emoji1787]
Sawa sheikh,shida ipo Kuna Hawa machawa wanaojitokeza kupinga hoja bila kuwa na hoja za maana wanabaki kulia Lia tu kwa sababu ya..... Halafu akimaliza anajiita sheikh Hawa ndio shidaaa chawa+
 
Siungi kila hoja ulilosema kwa kuwa elimu sio kigezo kikuu cha uongozi ,ila ina mahala pake pa kuongeza maarifa na foresight in planning .
Kweli kuna mashekhe ambao wamebebwa na dini ila ukichunguza sentiments zao hamna kitu .
Vijana wanadanganywa sana siku hizi,wengi hawana ambition and they rarely question facts wanazopewa .
Nikitoa mfano inauma sana nikicheki graduation list ya LST ,Mawakili waislamu niwachache sana , wakristo wametia fora pale sana .
Wale wakuu na sie wazee tuwaeleze na kuwapa advice otherwise this will be a ticking time bomb in the future ,elimu ni muhimu sana
 
Kwani hoja za Maaskofu za maana ni zipi zaidi ya kupambania maslahi yao tuh ya kupitisha magendo pale bandarini??
Akili ndogo wewe kama viongozi wako, DP World akija anakuta sheria zetu za kodi ziko mezani...mfumo wa TRA uko vilevile, haubadiliki...hivyo misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini iko palepale!.
 
al-Khwārizmī, in full Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizmī, (born c. 780 —died c. 850), Muslim mathematician and astronomer whose major works introduced Hindu-Arabic numerals and the concepts of algebra into European mathematics. Latinized versions of his name and of his most famous book title live on in the terms algorithm and algebra.

Huyo ni miongoni mwa magraduate wa madrasa
Kila muislam anamrefer huyu bwana.Vipi wengine nao wakitaja wavumbuzi wao?
 
Back
Top Bottom