Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Majini pia walimkiri AllahWadau hamjamboni nyote?
Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo
Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa vinywa vyao Yesu Kristo ndiye masihi Mwana wa Mungu aliye hai, alikuwa na mamlaka juu yao na kuwa atawahukumu siku ya kiama.
Ndugu zangu mnaopinga mnatoa hoja zenu kwa kuzingatia aya au mafungu yapi hasa?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Mathayo 8:26
Kwahiyo Mungu na Mariam Wana mtoto anaitwa Yesu?Wadau hamjamboni nyote?
Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo
Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa vinywa vyao Yesu Kristo ndiye masihi Mwana wa Mungu aliye hai, alikuwa na mamlaka juu yao na kuwa atawahukumu siku ya kiama.
Ndugu zangu mnaopinga mnatoa hoja zenu kwa kuzingatia aya au mafungu yapi hasa?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Mathayo 8:26
Say ASTAGHFIRULLAHKwahiyo Mungu na Mariam Wana mtoto anaitwa Yesu?
Sisi wahindu vipi unatuheshimSio Muumuni Wa Dini ya Kikristo Ila Naheshim Sana Dini Za Watu.
Sio Wahindu tu Hadi Ubudha(Buddhism).Sisi wahindu vipi unatuheshim
Asante sanaSio Wahindu tu Hadi Ubudha(Buddhism).
Kuna ule mstari unaosema "...huyu ndiye mwanangu na mpendwa wangu msikieni yeye"Wadau hamjamboni nyote?