Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo
Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa vinywa vyao Yesu Kristo ndiye masihi Mwana wa Mungu aliye hai, alikuwa na mamlaka juu yao na kuwa atawahukumu siku ya kiama.
Ndugu zangu mnaopinga mnatoa hoja zenu kwa kuzingatia aya au mafungu yapi hasa?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Mathayo 8:26