Ndugu zangu Waislamu hata majini walikiri kwa vinywa vyao kuwa Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu, ana mamlaka yote na awahukumu siku ya kiama

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo

Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa vinywa vyao Yesu Kristo ndiye masihi Mwana wa Mungu aliye hai, alikuwa na mamlaka juu yao na kuwa atawahukumu siku ya kiama.

Ndugu zangu mnaopinga mnatoa hoja zenu kwa kuzingatia aya au mafungu yapi hasa?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Mathayo 8:26
 
Majini pia walimkiri Allah
Suratul Jinn Aya 1-19
 
Wadau hamjamboni nyote?

Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo

Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa vinywa vyao Yesu Kristo ndiye masihi Mwana wa Mungu aliye hai, alikuwa na mamlaka juu yao na kuwa atawahukumu siku ya kiama.

Ndugu zangu mnaopinga mnatoa hoja zenu kwa kuzingatia aya au mafungu yapi hasa?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Mathayo 8:26
Kwahiyo Mungu na Mariam Wana mtoto anaitwa Yesu?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo

Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa vinywa vyao Yesu Kristo ndiye masihi Mwana wa Mungu aliye hai, alikuwa na mamlaka juu yao na kuwa atawahukumu siku ya kiama.

Ndugu zangu mnaopinga mnatoa hoja zenu kwa kuzingatia aya au mafungu yapi hasa?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Mathayo 8:26
Kuna ule mstari unaosema "...huyu ndiye mwanangu na mpendwa wangu msikieni yeye"
 
Back
Top Bottom