Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana)

2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
 
hawa mzidi lucas mwanshamba kwa maigizo ya raisi na viatu vya jeje
 
Ila kuna jamaa yangu tunapiga nae issue kitaa kwenye sekta isiyo rasmi. Jamaa ni swala 5. Kwenye kazi zetu tunatumia uongo kwa 50%.
Jamaa kafunga. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Ramadan ikiisha, KAZI IENDELEE.
 
Angalau hata hao wanaokumbuka kuwa wasafi angalau hata kwa huo mwezi ambao kwao ni mtukufu.
Mafundisho Yao yanatambua huo kama unafiki, Siku hizi wanafunga kula mpaka kitimoto
 
Ila kuna jamaa yangu tunapiga nae issue kitaa kwenye sekta isiyo rasmi. Jamaa ni swala 5. Kwenye kazi zetu tunatumia uongo kwa 50%.
Jamaa kafunga. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Ramadan ikiisha, KAZI IENDELEE.
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…