Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

Mjomba wake faiza Foxy nimefika

Nini shida
 
Attachments

  • FB_IMG_1741793416719.jpg
    FB_IMG_1741793416719.jpg
    39 KB · Views: 1
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana)

2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
Unaumia ukiwa wapi
 
Nahisi Kuna vitu tunachanganya hakuna dini iliyoruhusu uzinzi wizi ! Uislam umekataza vingi ila mtu akivifanya sio uislm ni yeye hapo ukristo umekatza uzinzi john akizin ni yeye sio kabisa Wala dini ....mwez wa ramadhani kwa waislam sio mwezi pekee wa kutenda mema miezi yote imeaswa kutenda mema kinachokuumiz ni wew kuona watu wanajumuika kufanya ibada hatupaswi kuchukia binadamu tunaomba mwisho mwema haijalishi ulianzaje ila mwisho utakuaje
 
Back
Top Bottom