KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Haiwezekani nishindie chapati wakati nilikuwa nasikia mapochopocho!!, Hata wa humu jukwaani mmeshindwa kutoa mualiko nawakati nilikuwa nawasindikiza vyema kwenye mfungo wenu!.
Sasa kwa taarifa ni hivi hili swala nimelivalia njuga wanasema sisi ni pipo tutakutana!.
Sasa kwa taarifa ni hivi hili swala nimelivalia njuga wanasema sisi ni pipo tutakutana!.