Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
WATALIA NA KUSAGA MENO
Sasa unajua yeye kawalenga wakina nan🤣🤣soma kwanza ,hao ni mashahidi ya miaka hiyo sio sasa.kwani shaikh kipozea ni mwamposa
UjingaKutiana mbele za Mungu
HairuhusiwiNapiga zangu Mvinyo alaf narud kuwarukia wanawake mabikra.
Ili iweje?Hapana mkuu, wanawake kila m1 atakuta janaume moja shababi linaloweza kujoza kama bao 5 hv daily bila kuchoka hahahhaaa
Yaani linakuwa kama robot mademu wanafanya kujipimia tuu
Sasa unajua yeye kawalenga wakina nan🤣🤣soma kwanza ,hao ni mashahidi ya miaka hiyo sio sasa.
Hakuna Qur an iliyosema hivyo kama unabisha leta hapa ,mashia hawaamini kabisa hiyo concept ...Huyo kipozeo na sule mpaka uwe umesoma basi ndio utaelewa ..Hao wengi waliobashiriwa hivyo kulikuwa na sababu sio wote 🤣.
Waliopigania jihad ya kweli ya miaka hiyo ,kuna vitu waliacha ili kujilinda na uchokozi , wengine waliacha familia zao ila kujilinda na waliaonzisha vita. Kwa dunia ya sasa naona mnakazania tu bila ya kusoma.
View attachment 3418025
Kwani huku duniani watu wanatiana nyuma ya Mungu bwashee?Kutiana mbele za Mungu
Hiyo surah imetaja wapi ,wanawake 72 ..Unafanya watu wajinga...Surah hiyo imeonesha sifa za wanawake walioko huko , kuonesha kwamba duniani ni mpito tu ,hata waliotaja huko sio pombe kama yeye yenye kulewesha na yenye madhara.Sheikh naomba Uniletee Quran 37: 40 -50.
"Yeyote anayejiua kwa kitu chochote, ataadhibiwa nacho milele Motoni.” (Bukhari & Muslim)
Kwa hiyo ina maana tunatakiwa kutenda mema hapa duniani maisha yetu yote ili tukalipwe ngono kule firdaus? Just curious
Hiyo surah imetaja wapi ,wanawake 72 ..Unafanya watu wajinga...Surah hiyo imeonesha sifa za wanawake walioko huko , kuonesha kwamba duniani ni mpito tu ,hata waliotaja huko sio pombe kama yeye yenye kulewesha na yenye madhara.
Elewa sifa ya vitu vilivyotajwa ili kuonesha duniani hakuna cha maana ,hizo pombe hazieleweshi hapa imetumika lugha ya kuonesha kuna kinywaji sio pombe ...Kumbuka pombe inayolewesha haitakiwi tu ,kinywaji chochote hata nvinyo unaweza kunywa... Wamefananisja na pombe ila haina sifa za pombe hizi za kulewesha wala kuwa na madhara.
Leo nikuambie twenda kutanywe ila hivyo vinywaji ,vina alcohol 0% na wala havina madhara ,hivyo vinjwaji vitakuwa pombe kweli?🤣🤣