Ndugu zangu waislamu, nina maswali.....

Hakuna dini bora zote zipo sawa
 
Nilitaka utoe faida ya nyama ya kitimoto pamoja na mafuta yake kuwa yana faida gan mwilini mwa binadam
Hayana Faida Yoyote Zaidi ya Hasara Tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 

Hebu mtuache tupumue ndugu zangu. Kila siku thread 3 za waislamu tu. Tumechoka

Hebu fatilieni basi mambo yenu hata kule Vatican kuna mashoga siku hizi hebu fanyeni kujadili mambo endelevu ya dini yenu.

Ya sisi waislamu tuachieni hayawahusu
 
Mbona nilisikia kuwa ni mazuri kwanza hagandi sijui nini nini huko
Japo Kweli Ni mazuri..
Na Pia yana Cholesterol nzuri ambayo inaweza Kusaidia Kuondoa Bado Cholesterol Mwilini, na Ni sources yaa vitamin B, Vitamini D na zingine...

Japo ina Monosaturated Fat ila Ila Yana High saturated fatty acids (SFAs) πŸ˜…πŸ˜…
Ambayo ndo InaIncrease risk ya Kupata magonjwa ya Moyo Cardiovascular Disease na CVD (Cerebral Vascular Disease)
Kiufupi mlaji wa Mdudu anakabiliwa magonjwa Mengi ya Mishipa Ya Moyo ba Mishipa.ya Ubongo...

Mtu mwenye Pressure au Mwenye Kisukari au Mwenye magonjwa ya Mishipa Ya damu haruhusiwi kutumia Sana Huyo mbuzi katoliki kwa ajili ya Afya yake..

Nyama Ya Nguruwe Ni complex sana Maana Ina Faida Nyingi na Ina Hasara Nyingi pia πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Usiwe mvivu ustaadhi, miaka kibao ilikuwa ni Dhambi kusoma elimu Dunia, haya ndio matokeo yake Sasa,hata hivo hamjachelewa pelekeni watoto shule sasa
 
Asante sana kumbe tuendelee kugonga mdogo mdogo tu
 
Hebu mtuache tupumue ndugu zangu. Kila siku thread 3 za waislamu tu. Tumechoka

Hebu fatilieni basi mambo yenu hata kule Vatican kuna mashoga siku hizi hebu fanyeni kujadili mambo endelevu ya dini yenu.

Ya sisi waislamu tuachieni hayawahusu
Maisha hatuishi hivyo, natoa banzi kwenye jicho lako unatoa banzi kwenye jicho langu
 
Asante sana kumbe tuendelee kugonga mdogo mdogo tu
Hahahah Kwa Wayahudi Wanasema Vyakula Vyenu Viwe KOSHER...
kwa Wakristo wanazema VYAKULA viwe Halali na Kitimoto ni Haramu
Ukienda Kwa Waislam hivyo hivyo..

Na ukienda kwa Dini Yoyote ni hivyo hivyo Kukatazwa kwa Kitimoto hienda Kuna Maana Kiroho..
πŸ˜…πŸ˜…
 
Rafiki yangu umehamia kiroho tena

Kiroho sisi wakristo tushahalilishiwa kitambo sana
 
Dini dini dini

Eheee ngoja wengine tufatilie mnyukano humu

Ova
 
Utakuta wewe jamaa ni mke wa Mtu kabisa na unajiganya kuwalea watoto wako kwenye maadili! Mumeo ana shida sana aisee
 
Je wewe baba yako anamiliki bilion ngapi kwenye akaunti?
 
1. Hali ya maisha kwa miaka ya nyuma waislamu tulikua nyuma kutafuta utajiri na hali nzuri ya maisha tulilowea kwenye idealogy Ya kuishi duniani kama shamba kuchuma vya Akhera (a duniiiya mazratul akherat) Nguvu na jitihada zetu tuliwekeza kwenye kutafuta After life hata elimu ya dunia hatukuipa kipaumbele tulishika sanaa Ilmu ya akhera

2. Kama nilivyotanabaisha hapo juu mwanzoni elimu ya dunia hatukuipa kipaumbele lakini pia ni dhahiri miaka ya mwanzoni mfumo wa elimu ulikua unamnyima kijana wa kiislamu nafasi na hakukua na shule za kiislamu nyingi wasomi wengi wa kiislamu walisoma kwa majina ya kubumba

3. Yawezekana kweli kipindi cha Ramadhani mabar na pork points haziuzi kwa sababu walau mbili
KWANZA Mfumo wa dini ya kiislamu ni mfumo kamili wa maisha hivyo huathiri culture ( daily life ) hivyo huambukiza kirahisi kwa hata wasio waislamu (Yaani mfungo wa ramadhani waislamu wanafunga na hata wasio waislamu wanafunga)
PILI ni sababu ya kiimani Tunaamini Ramadhani masheitwaan wanaotushawish kufanya madhambi wanafungiwa hivyo nyie ndugu zetu wala kitimoto mnakosa ushawishi wa sheitwan kula kitimoto kwani ni machukizo machoni kwa Mungu

NAAMINI UTAKUBALIANA NA MIMI HATA WASIO WAISLAM HUPATA ATHARI NYINGI KIASI NA WAO HUJIZUIA KUFANYA MADHAMB MENGI WAKAT WA RAMADHANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…