Japo Kweli Ni mazuri..
Na Pia yana Cholesterol nzuri ambayo inaweza Kusaidia Kuondoa Bado Cholesterol Mwilini, na Ni sources yaa vitamin B, Vitamini D na zingine...
Japo ina Monosaturated Fat ila Ila Yana High saturated fatty acids (SFAs) 😅😅
Ambayo ndo InaIncrease risk ya Kupata magonjwa ya Moyo Cardiovascular Disease na CVD (Cerebral Vascular Disease)
Kiufupi mlaji wa Mdudu anakabiliwa magonjwa Mengi ya Mishipa Ya Moyo ba Mishipa.ya Ubongo...
Mtu mwenye Pressure au Mwenye Kisukari au Mwenye magonjwa ya Mishipa Ya damu haruhusiwi kutumia Sana Huyo mbuzi katoliki kwa ajili ya Afya yake..
Nyama Ya Nguruwe Ni complex sana Maana Ina Faida Nyingi na Ina Hasara Nyingi pia 😅😅🙌🙌