chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
uhasibu[emoji1][emoji1]dah pole bingwa
Masomo gani ya biashara exactly umesoma ?
[emoji23][emoji23][emoji23]pole aiseenilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
usicheke mkuu inauma sana.😀 😀 😀 😀 😀
ndugu sio mzee
uhasibu
uhasibu