Ndugu zangu walinidanganya nikasoma kozi isiyo na soko

shukrani kwa ushauri.
 
thanks
 
sawa mkuu
 
Uhasibu upo vizuri tu... hawakukosea kukupa ushauri huo na hata hiyo engineering inategemea ya aina ipi kwani nyengine nazo zinalipa lakini sio Tanzania... Kikubwa pumzi... Focus... Never give up
 
Kwani Nani Amekudanganya hiyo engineering ina kazi za kuajiriwa mkuu?Nina ndugu wawili mmoja electrical mwingine computer and networking baada ya kumaliza na kusugua benchi kisawasawa walijiongeza Kuomba kufundisha physics secondary private.
Sasa wamefundisha 3yrs wamekuwa Waalimu kabisa
 
[emoji81][emoji81]dah ..sometimes kua na msimamo haijalishi ni nani anae kupinga

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
It's not too late to start afresh
 
nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
Acha ujinga mbona uhasibu kila siku naona matangazo ya kazi ata bila CPA,

Shida mnawahi kukata tamaa miez 5 mtaani mnahisi mmekaa miaka 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…