msela wa mbagala
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 139
- 443
Wasalaam wana bodi.
Kwanza nianze kutoa kongole kwa uongozi wa club yangu ya young African (yanga a.k.a wakimataifa). Tulichofanya tarehe 30 jumapili pale kwa mkapa ni uthibitisho kuwa yanga ni brand kubwa Africa, sherehe zilifana sana kuanzia burudani safi tulizoona na ubunifu uliofanyika. Huu wimbo wa harmonize wa yanga mzuri mno. ndugu zangu wa bodaboda wanaupiga sana, na unapendwa sana. una mdundo Fulani hivi heavy, (Watoto wa jangwaniiiiiπ£π£ ) Niwe mkweli sijawahi ona na haijawahi kutokea wanayanga wengi kiasi kile kwa pamoja. ilikua ni zaidi ya mafuriko ya wananchi.
watani zetu si vibaya mkaiga maandalizi na tulivyofanya. Mmehangaika kutafuta mapungufu mkakosa mmehamia issue ya mjeshi kudondoka baada ya kukosa hoja. poleni sana dawa inawaingia pole pole, jamii zote hazivumilii utovu wa nidhamu, kabla hamjaanza kuropoka ni vema mkafanya utafiti yule aliyechaniwa jezi alifanya kosa gani. nawajua vizuri wanayanga wakarimu mno, nitakua wa mwisho kuamini alichaniwa jezi bila sababu.
WAPE SALAAM
kama kwenye tamasha lao waliiba simu mbili kwa mabwenyenye wao iweje tusiwe na tahadhari nao.