Ndugu zangu wana Yanga tujipongeze kwa hili

Ndugu zangu wana Yanga tujipongeze kwa hili

msela wa mbagala

Senior Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
139
Reaction score
443
Wasalaam wana bodi.

Kwanza nianze kutoa kongole kwa uongozi wa club yangu ya young African (yanga a.k.a wakimataifa). Tulichofanya tarehe 30 jumapili pale kwa mkapa ni uthibitisho kuwa yanga ni brand kubwa Africa, sherehe zilifana sana kuanzia burudani safi tulizoona na ubunifu uliofanyika. Huu wimbo wa harmonize wa yanga mzuri mno. ndugu zangu wa bodaboda wanaupiga sana, na unapendwa sana. una mdundo Fulani hivi heavy, (Watoto wa jangwaniiiii🗣🗣 ) Niwe mkweli sijawahi ona na haijawahi kutokea wanayanga wengi kiasi kile kwa pamoja. ilikua ni zaidi ya mafuriko ya wananchi.

watani zetu si vibaya mkaiga maandalizi na tulivyofanya. Mmehangaika kutafuta mapungufu mkakosa mmehamia issue ya mjeshi kudondoka baada ya kukosa hoja. poleni sana dawa inawaingia pole pole, jamii zote hazivumilii utovu wa nidhamu, kabla hamjaanza kuropoka ni vema mkafanya utafiti yule aliyechaniwa jezi alifanya kosa gani. nawajua vizuri wanayanga wakarimu mno, nitakua wa mwisho kuamini alichaniwa jezi bila sababu.

WAPE SALAAM
kama kwenye tamasha lao waliiba simu mbili kwa mabwenyenye wao iweje tusiwe na tahadhari nao.
 
Ngoja J Mos Wajelajela Wakuoneshe Kwamba Kumbe Huna Timu, Nakwamara Ingine Unaenda Kugombea Nafac Ya Pili Dhdi Ya Azam Na Namungo,
C Unajidai Yule Mcongo Anaekimbia Na Mpira Bila Akili? Utaelewa J Moc!
Ukumbuke Cjaitaja 18 Oct
 
Kwa taarifa ambazo ninazo jmos hakuna mechi yoyote ya Yanga labda utuambie jmos Yanga anacheza na nani?
 
Ngoja J Mos Wajelajela Wakuoneshe Kwamba Kumbe Huna Timu, Nakwamara Ingine Unaenda Kugombea Nafac Ya Pili Dhdi Ya Azam Na Namungo,
C Unajidai Yule Mcongo Anaekimbia Na Mpira Bila Akili? Utaelewa J Moc!
Ukumbuke Cjaitaja 18 Oct
𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚌𝚑𝚎𝚣𝚊 𝚓2 ,𝚖𝚒𝚍𝚊 𝚢𝚊 𝚜𝚊𝚊 𝚖𝚘𝚓𝚊
 
Ngoja J Mos Wajelajela Wakuoneshe Kwamba Kumbe Huna Timu, Nakwamara Ingine Unaenda Kugombea Nafac Ya Pili Dhdi Ya Azam Na Namungo,
C Unajidai Yule Mcongo Anaekimbia Na Mpira Bila Akili? Utaelewa J Moc!
Ukumbuke Cjaitaja 18 Oct
Hapa,umeongea ukwel yule jamaa akiwa na mpira nikukimbia mwanzo mwisho hamna ubunifu
 
Mikia walibugi kumualika Mond..bora wangemchukua shoromwamba anakiwasha mbaya kwenye kampeni za Magu
 
Uzuri wa hizi event muanzilishi ni Simba. Nyie endeleeni kuiga tu.
 
Wengi walikuwa wana ccm walijaa kwenye tamasha kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom