Ndugu zangu Wasabato je mnamfahamu mtakatifu Jerome? Je mnamkumbuka kwa jambo hasa?

Hivi china na Japan kuna wasabato?
Na Iran je...vipi na Pale Vatican city?
 
Hivi china na Japan kuna wasabato?
Na Iran je...vipi na Pale Vatican city?
Japan Wasabato wapo
Irani walikuwepo baada ya Mapinduzi ya Kiiislam, Wairan walivunja makanisa yote ya Kikrsisto ikiwemo na wasabato, usabato ulikuwepo zamani Iran wakati huo iran ikiitwa Uajemi.Wasabato waliingia Iran 1911.

Vatican ni Makao Makuu ya Roma, sijui km ulishawai kumuona Mwanachadema pale Lumumba.
 
Niombee tutoa nafasi kwa ndugu zetu Wasabato duniani kote watupatie elimu

Lugha zisizo na staha mwiko
Huyu alitoa tafsiri za Biblia kwa kilatini na kiyunani, aliweka vitabu vyake ambavyo havikua na uvuvio vya roho mtakatifu, lkn pia ndo aliandika barua ya kusema waromani waidhinishe siku ya J2 kutoka Jumamos na akasema Sabato ilikua ya kale.
 
Makao makuu ya wabato ni wapi? Yalipo hamna waislam?
Unazungumzia Lumumba ipi...
 
Oya kavulata unaitwa huku
 
Huyu alitoa tafsiri za Biblia kwa kilatini na kiyunani, aliweka vitabu vyake ambavyo havikua na uvuvio vya roho mtakatifu, lkn pia ndo aliandika barua ya kusema waromani waidhinishe siku ya J2 kutoka Jumamos na akasema Sabato ilikua ya kale.
Oyawee kavulata uje huku unaitwa njoo utoe maelezo
 
Alisikika Msabato Mmoja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…