Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam.
Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha agombee na kukipasua chama vipande vipande amebaki njia panda na muda umekwisha imebaki asuke au anyolewe.

Muwe na ucku mnono.
 
Mjomba mbowe CHADEMA ni urithi wa Wachagga. Tafadhali shikilia hapohapo hicho kikoba chetu.
 
Wasalaam.
Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha agombee na kukipasua chama vipande vipande amebaki njia panda na muda umekwisha imebaki asuke au anyolewe.

Muwe na ucku mnono.
Huyu magi ni lazima agombee anapenda sana pesa kuliko chama
 
Usingizi wa leo unakuwa wa Mang'amung'amu ngoja niagize Konyagi isaidie kuupitisha salama.
 
Back
Top Bottom