Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Atakua amekula nyagi za kutosha kushusha preshajibu analo
Hizo nyagi unakunywaga nae?Atakua amekua amakula nyagi za kutosha kushusha presha
Huyu magi ni lazima agombee anapenda sana pesa kuliko chamaWasalaam.
Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha agombee na kukipasua chama vipande vipande amebaki njia panda na muda umekwisha imebaki asuke au anyolewe.
Muwe na ucku mnono.
Imbecile !!!Mjomba mbowe CHADEMA ni urithi wa Wachagga. Tafadhali shikilia hapohapo hicho kikoba chetu.
Hapo sawaUsingizi wa leo unakuwa wa Mang'amung'amu ngoja niagize Konyagi isaidie kuupitisha salama.
Nyagi tena?Atakua amekula nyagi za kutosha kushusha presha