Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimama court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini?

Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu kutolewa, utahukumiwa bila kujali una haki au la, tukae kimya. Ni muda wa hukumu.

(Mhubiri 3:7)

Kwa Kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa Kila kusudi chini ya mbingu.

7: Wakati wa kunyamaza na wakati wa kunena.

(Ufunuo 8:1)

1: Hata alipoifungua muhuri ya Saba,kukawa kimya mbinguni kama muda wa nusu saa.

.....Mwisho wa kunukuu....

Jiulize mbinguni palivyo busy, ila kumbe pia huwa kuna muda wa kunyamaa, kusikiza maagizo.


Nchi yetu imefikia wakati wa kutolewa hukumu, ni Bora kunyamaza, tumekwisha sema vya kutosha,

Onyo la kwanza lilishatolewa, onyo la pili vile vile, na onyo la tatu limekwisha toka,

Majira ya Saba, muhuri wa Saba ni hitimisho, ukamilifu ni muda wa hukumu, tukae kimya.


1. Wanasiasa kaeni kimya. Judge amekaa kiti Cha hukumu kutoa hukumu.

2. Waombaji kaeni kimya, huu ni muda wa kusikiza majibu ya maombi.

3. Waimba mapambio kusifu watawala, kaeni kimya, huu ni muda wa kimya.

Kimya maana yake kimya!

Kaa kimya kwa usalama wako.

NB: Ukimya huu ni kwa kipindi cha miezi miwili na unaweza kuendelea Hadi kipindi cha uchaguzi.


Busara ni kukaa kimya.🤬🤐

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
 
Kila mtu na akae kimya kuanzia Mzee Hadi kichanga.

Kimya !
 
I am sorry but mm ni muumini mkubwa wa kupambana. Kumbuka only way ushetani unaweza ku prevail ni if waliohaki wakikaa kimya
Kila jambo na wakati wake.

Huu ni muda wa hukumu, busara ni kukaa kimya.
 
Lucas mwashambwa Kaa kimya,

Huna mamlaka ya kumjibu Askofu.

Kimya!
 
Kimya cha miaka 64 hakijatosha?

Haya ni majira ya kunena
Mashtaka yamefika court,

Kesi imesikizwa, pande zote zimesikizwa,

Hakimu amekaa kutoa hukumu,

Unataka kusema Nini muda huo?

Haya endellea!
 
Salaam, Shalom!

Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimamia court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini?

Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu kutolewa, utahukumiwa bila kujali una haki au la, tukae kimya. Ni muda wa hukumu.

(Mhubiri 3:7)

Kwa Kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa Kila kusudi chini ya mbingu.

7: Wakati wa kunyamaza na wakati wa kunena.

(Ufunuo 8:1)

1: Hata alipoifungua muhuri ya Saba,kukawa kimya mbinguni kama muda wa nusu saa.

.....Mwisho wa kunukuu....

Jiulize mbinguni palivyo busy, ila kumbe pia huwa kuna muda wa kunyamaa, kusikiza maagizo.


Nchi yetu imefikia wakati wa kutolewa hukumu, ni Bora kunyamaza, tumekwisha sema vya kutosha,

Onyo la kwanza lilishatolewa, onyo la pili vile vile, na onyo la tatu limekwisha toka,

Majira ya Saba, muhuri wa Saba ni hitimisho, ukamilifu ni muda wa hukumu, tukae kimya.


1. Wanasiasa kaeni kimya. Judge amekaa kiti Cha hukumu kutoa hukumu.

2. Waombaji kaeni kimya, huu ni muda wa kusikiza majibu ya maombi.

3. Waimba mapambio kusifu watawala, kaeni kimya, huu ni muda wa kimya.

Kimya maana yake kimya!

Kaa kimya kwa usalama wako.

NB: Ukimya huu ni kwa kipindi cha miezi miwili na unaweza kuendelea Hadi kipindi cha uchaguzi.


Busara ni kukaa kimya.🤬

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Kaa kimya uminywe vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom