Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

Mpuuzi wewe, Simba anakuja kukula unasema nipige magoti nianze kusali badala ya kukimbia au kupanda mti!!! Haaaaaaaaaaaaaaaa
Huo mfano sio,

Nenda court, hakimu awe anatoa hukumu uanze kupaza sauti uone Nini kitakutokea.
 
namtoa post ungekaa kimya usipost chochote kile.
 
Kaa kimya uminywe vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kwa muda tu wa kutoa hukumu,

SI Ukimya wa milele,
SI Ukimya wa maiti, ni kwa muda tu hakimu atoapo hukumu.
 
Wakatoliki kaeni kimya,

Muda wa hukumu Katika viti vya Enzi umefika.

Pope naye anaenda kusimama kiti Cha hukumu.

Kimya maana yake kimya 🙏
 
Moment of silence please🙏
 
Kampeni ya vitisho au kilio cha walio wengi tayari kimesikilizwa na mpango wa utekelezaji wa yale yanayolalamikiwa tayari umeandaliwa au?Majibu ni muhimu ili taifa liweze kupumua.
 
Kampeni ya vitisho au kilio cha walio wengi tayari kimesikilizwa na mpango wa utekelezaji wa yale yanayolalamikiwa tayari umeandaliwa au?Majibu ni muhimu ili taifa liweze kupumua.
Naam,

Ila Kaa kimya.
 
Tukae kimya,

Tutajibiwa tukiwa kimya.
 
Lema amenukuu,

(Kutoka 14:14),

"BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya".

Kimya maana yake kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…