CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu.
Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?!
Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe hakuna kitu anafanywa huyo aliyetaka kuyachoma?!
Hii katiba jamani ni mbaya. Atakuja chizi ataamua kuangamiza kundi fulani la watu halafu ataangamiza na hakuna kitu atafanywa. Please!