Zitto mashamba ya korosho ayatoe wapi? Alikataa Hana mashambaCCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu.
Yaani askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji??Aliyesababisha hayo haguswi??!
Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe hakuna kitu anafanywa huyo aliyetaka kuyachoma???!
Hii katiba jamani ni mbaya. Atakuja chizi ataamua kuangamiza kundi fulani la watu halafu ataangamiza na hakuna kitu atafanywa. Please!
Vipi kuhusu Askofu Mwingira?Zitto mashamba ya korosho ayatoe wapi? Alikataa Hana mashamba
View attachment 2065606
Mbona umehama ghafla vip tena?Vipi kuhusu Askofu Mwingira?
Vipi kuhusu Lisu?
Vipi kuhusu Azory na Ben Sa8?
Matukio haya yote makubwa anaachwaje mhusika?
Zitto muongoKuna mambo yanasikitisha sana...
Tafiti vitu kabla kuandika. Mnaaandika rubbish kwenye jukwaa kubwa kama JF its like JF imevamiwa na walevi wa Viroba na KVant. Umebwabwaja sana na siyo lazima wote tuwe wachokoza mada au waanzilishi bali waweza kuwa msomaji au mchangiaji tu ili kuepusha takataka ka hizi.CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu.
Yaani askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji??Aliyesababisha hayo haguswi??!
Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe hakuna kitu anafanywa huyo aliyetaka kuyachoma???!
Hii katiba jamani ni mbaya. Atakuja chizi ataamua kuangamiza kundi fulani la watu halafu ataangamiza na hakuna kitu atafanywa. Please!
Hoja yake ni kuhusu ubovu wa katiba ya sasa hizo nyingine ni stor zakusindikiza mada yake.sasa ubovu wa hii katiba inayomgeuza mtu mmoja kuabudiwa inaitaji utafiti gani kujua ni mbovu.Au unasubiri hadi itakapokuzuru ndo uibuke ujue ni mbovu.Tafiti vitu kabla kuandika. Mnaaandika rubbish kwenye jukwaa kubwa kama JF its like JF imevamiwa na walevi wa Viroba na KVant. Umebwabwaja sana na siyo lazima wote tuwe wachokoza mada au waanzilishi bali waweza kuwa msomaji au mchangiaji tu ili kuepusha takataka ka hizi.
Tuko kwenye mfumo wa Ubepari. Wewe jikite kufanyakazi kwa bidii kuendeleza familia yako na uzao wako, serikali imeweka miundombinu ya kutosha. Vuna Magogo peleka nje, lima maua peleka nje, lima mazao kadri uwezevyo safirisha nje. Achana na porojo porojo wakati umri unaenda Tanzania bado fursa zipo yaaani kwa kifupi jikite kutengeneza pesa. Nenda kakusanye mahindi mchele nk peleka sudan na somalia utapiga pesa tu barabara zipo mzigo unafika fasta. Usipoteze muda na porojo za Siasa mkuu jali kipato chako binafsi hapa JF njoo kurefresh tu lkn ukiumiza kichwa utaishia kufa kwa madonda ya tumbo. Hao wanaozusha taharuki za mijadala wanajua nin wanafanya maaana wako kazini. Heri ya mwaka mpya 2022 mkuuHoja yake ni kuhusu ubovu wa katiba ya sasa hizo nyingine ni stor zakusindikiza mada yake.sasa ubovu wa hii katiba inayomgeuza mtu mmoja kuabudiwa inaitaji utafiti gani kujua ni mbovu.Au unasubiri hadi itakapokuzuru ndo uibuke ujue ni mbovu.
Kulikuwa na shetani ikulu....by Askofu Mwingira.Tafiti vitu kabla kuandika. Mnaaandika rubbish kwenye jukwaa kubwa kama JF its like JF imevamiwa na walevi wa Viroba na KVant. Umebwabwaja sana na siyo lazima wote tuwe wachokoza mada au waanzilishi bali waweza kuwa msomaji au mchangiaji tu ili kuepusha takataka ka hizi.