dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo
Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa sasa, nimekutana na vitangazo vingi vina sema Rais Samia amelipia ticket elfu 20 kwenda uwanjani bure kutazam mechi ya mkondo wa pili kat ya Congo Dr na Taifa Stars 🌟
Sasa najiuliza hadi lini tunafanya upuuzi huu wa kuwalazimisha watu kuwa wazalendo tena kwa kuwa nunuliwa ticke za bure kwenda uwanjani, mimi nilikuwepo Kenya wiki mbili hizi kule hakuna upumbafu wa kumnunulia mtu ticket ati akwende uwanjani kushangilia Harambe star huko hakuna ni hivi uwanja mkubwa kama njayo unakuta wazalendo watupu na siyo mamluki
Natoa rai kuwa kuwanunuali watu ticket ni ushamba na kulazimisha kupendwa na kupeleka taifa kuwa na Watu mamluki na wanafiki.
Soma Pia: Tanzania VS DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
Kama mtu hana pesa zake bas baki nyumbni sikiliza redio sisi wazalendo tuingie uwanjani