Ndugu zangu Watanzania, Uzalendo haununuliwi na tutatengeneza taifa la watu mamluki

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo

Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa sasa, nimekutana na vitangazo vingi vina sema Rais Samia amelipia ticket elfu 20 kwenda uwanjani bure kutazam mechi ya mkondo wa pili kat ya Congo Dr na Taifa Stars 🌟

Sasa najiuliza hadi lini tunafanya upuuzi huu wa kuwalazimisha watu kuwa wazalendo tena kwa kuwa nunuliwa ticke za bure kwenda uwanjani, mimi nilikuwepo Kenya wiki mbili hizi kule hakuna upumbafu wa kumnunulia mtu ticket ati akwende uwanjani kushangilia Harambe star huko hakuna ni hivi uwanja mkubwa kama njayo unakuta wazalendo watupu na siyo mamluki

Natoa rai kuwa kuwanunuali watu ticket ni ushamba na kulazimisha kupendwa na kupeleka taifa kuwa na Watu mamluki na wanafiki.

Soma Pia: Tanzania VS DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Kama mtu hana pesa zake bas baki nyumbni sikiliza redio sisi wazalendo tuingie uwanjani

IMG_20241015_032646.jpg
 
Katoa bure kwa kua amepewa bure kutoa sio utajiri kutoa sio kutafuta sifa kutoa sio kujipendekeza kutoa sio kutafuta mamluki hapo ni sawa kusema karuhusu watu 20,000 waingie bure
 
Tatizo liko wapi kama ana influence timu ya taifa lake ifanye vizuri?
 
Katoa bure kwa kua amepewa bure kutoa sio utajiri kutoa sio kutafuta sifa kutoa sio kujipendekeza kutoa sio kutafuta mamluki hapo ni sawa kusema karuhusu watu 20,000 waingie bure
Sas unasema Uzalendo uko wapi hapo ili aone kweli watu ni wazalendo waachwe waende wenyewe na kwa taarifa, a za chini ya kapeti Leo stars itapigwa tatu kavu
 
Ametoa kibari watu 20,000 waingie bure mkuu yeye ndio mkuu wa Nchi elewa hilo mboni ni suala lipo wazi tu hilo sio la kuumiza kichwa sana, ni km rais wa TP Mazembe alipowanunulia watu Tiketi kwenye ile mechi mashabiki wa Yanga na Simba wakaingia kuishangilia TP Mazembe au umesahau?
 
Katoa bure kwa kua amepewa bure kutoa sio utajiri kutoa sio kutafuta sifa kutoa sio kujipendekeza kutoa sio kutafuta mamluki hapo ni sawa kusema karuhusu watu 20,000 waingie bure
Watu wenye mtazamo kama wako huitwa "wakereketwa wa CCM".... Ni watu wajinga mno maana akili zao zimeshikiriwa na mwenyekiti wa chama...

Lolote baya liwakute staz, Samia must go, kushindwa kwa staz ni kushindwa kwa CCM.
 
Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo

Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa sasa, nimekutana na vitangazo vingi vina sema Rais Samia amelipia ticket elfu 20 kwenda uwanjani bure kutazam mechi ya mkondo wa pili kat ya Congo Dr na Taifa Stars 🌟

Sasa najiuliza hadi lini tunafanya upuuzi huu wa kuwalazimisha watu kuwa wazalendo tena kwa kuwa nunuliwa ticke za bure kwenda uwanjani, mimi nilikuwepo Kenya wiki mbili hizi kule hakuna upumbafu wa kumnunulia mtu ticket ati akwende uwanjani kushangilia Harambe star huko hakuna ni hivi uwanja mkubwa kama njayo unakuta wazalendo watupu na siyo mamluki

Natoa rai kuwa kuwanunuali watu ticket ni ushamba na kulazimisha kupendwa na kupeleka taifa kuwa na Watu mamluki na wanafiki.

Soma Pia: Tanzania VS DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Kama mtu hana pesa zake bas baki nyumbni sikiliza redio sisi wazalendo tuingie uwanjani

View attachment 3125337
90% ya watanzania ambao hawapo kwenye chain ya kula keki ya taifa wapo tayari kufanya lolote ili ku enjoy raha za dunia.
 
Back
Top Bottom