Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kama ni Sufuria ya Ugali imebandikwa, Maji Kwa Sasa yameanza Kuchemka .
Ni sisi wa Kuamua, Je tukoroge Uji kwanza ndio tusonge Ugali au Tuweke Unga tuendelee kusonga.
Kwangu Mimi nashauri Tuweke Unga tuendelee Kusonga Ugali .
Tukiacha VUGUVUGU hili likapoa, Basi haitotokea Tena muda ambao Watanzania tutapata KATIBA MPYA.
VUGUVUGU ili Twende nalo , hata ikitokea CHADEMA karudi uchaguzini baada ya Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, Vuguvugu hili Twende nalo mpaka tupate KATIBA MPYA ilopendekezwa na TUME YA JAJI WARIOBA.!!.
Wakati wa Katiba Mpya ni Sasa !! CCM tukiiendekeza , tutaambulia Mabua, huku Wachache wakijilimbikizia Mali!!