Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Tunaenda kuwalazimishaIyo katiba anapitisha nani?Hii nchi .
WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI.Kama ni Sufuria ya Ugali imebandikwa, Maji Kwa Sasa yameanza Kuchemka .
Ni sisi wa Kuamua, Je tukoroge Uji kwanza ndio tusonge Ugali au Tuweke Unga tuendelee kusonga.
Kwangu Mimi nashauri Tuweke Unga tuendelee Kusonga Ugali .
Tukiacha VUGUVUGU hili likapoa, Basi haitotokea Tena muda ambao Watanzania tutapata KATIBA MPYA.
VUGUVUGU ili Twende nalo , hata ikitokea CHADEMA karudi uchaguzini baada ya Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, Vuguvugu hili Twende nalo mpaka tupate KATIBA MPYA ilopendekezwa na TUME YA JAJI WARIOBA.!!.
Wakati wa Katiba Mpya ni Sasa !! CCM tukiiendekeza , tutaambulia Mabua, huku Wachache wakijilimbikizia Mali!!
na ndio huu! Amina.WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI.
Hayo yote Mungu anayajua na yatakuwa vile alivyopanga yeye
Kama ni Sufuria ya Ugali imebandikwa, Maji Kwa Sasa yameanza Kuchemka .
Ni sisi wa Kuamua, Je tukoroge Uji kwanza ndio tusonge Ugali au Tuweke Unga tuendelee kusonga.
Kwangu Mimi nashauri Tuweke Unga tuendelee Kusonga Ugali .
Tukiacha VUGUVUGU hili likapoa, Basi haitotokea Tena muda ambao Watanzania tutapata KATIBA MPYA.
VUGUVUGU ili Twende nalo , hata ikitokea CHADEMA karudi uchaguzini baada ya Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, Vuguvugu hili Twende nalo mpaka tupate KATIBA MPYA ilopendekezwa na TUME YA JAJI WARIOBA.!!.
Wakati wa Katiba Mpya ni Sasa !! CCM tukiiendekeza , tutaambulia Mabua, huku Wachache wakijilimbikizia Mali!!
Kwa watu wenye macho matatu ccm ipo katika dakika za mwisho kuanguka yan ni muda tuu mchache umebaki wametumia dola kwa muda mrefu watanzania hawakua na namna lakini kuna wakati asili inageuza vitu mfano mzuri Roma mkatoliki alitabiri JPM kua raisi wa Tanzania nani aliamini yangetokea lakini walivurugana wenyewe kwa wenyewe ikatokea na mlionaKama ni Sufuria ya Ugali imebandikwa, Maji Kwa Sasa yameanza Kuchemka .
Ni sisi wa Kuamua, Je tukoroge Uji kwanza ndio tusonge Ugali au Tuweke Unga tuendelee kusonga.
Kwangu Mimi nashauri Tuweke Unga tuendelee Kusonga Ugali .
Tukiacha VUGUVUGU hili likapoa, Basi haitotokea Tena muda ambao Watanzania tutapata KATIBA MPYA.
VUGUVUGU ili Twende nalo , hata ikitokea CHADEMA karudi uchaguzini baada ya Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, Vuguvugu hili Twende nalo mpaka tupate KATIBA MPYA ilopendekezwa na TUME YA JAJI WARIOBA.!!.
Wakati wa Katiba Mpya ni Sasa !! CCM tukiiendekeza , tutaambulia Mabua, huku Wachache wakijilimbikizia Mali!!
Kwa watu wenye macho matatu ccm ipo katika dakika za mwisho kuanguka yan ni muda tuu mchache umebaki wametumia dola kwa muda mrefu watanzania hawakua na namna lakini kuna wakati asili inageuza vitu mfano mzuri Roma mkatoliki alitabiri JPM kua raisi wa Tanzania nani aliamini yangetokea lakini walivurugana wenyewe kwa wenyewe ikatokea na mliona
Jingine ambalo roma alitabiri na linaenda kutokea na ambalp hamtaaamini ni utabiri wa ccm kuanguka 2030 hili halina mjadala wataenda kwenye sanduku la kura mwaka huu na watashinda kwa jasho jingii ila 2030 ccm itakua ni chama cha upinzani chukua hii
Kanisa MkuuHAKI huleta AMANI ya kudumu.
Ukute kaambiwa tu na kina Lisu tudai Katiba lkn yy mwenyewe ht hajui atapata nn ila kina Lisu wanajuaKwanza katiba ya sasa unaijua?
Wewe kama wewe katiba ya sasa inakuzuia kitu gani kupata mafanikio?
Ukute kaambiwa tu na kina Lisu tudai Katiba lkn yy mwenyewe ht hajui atapata nn ila kina Lisu wanajua
Watu wengi wanadai katiba ila ukiwauliza katiba ya sasa inamyima mambo gani hajui
Maswali kama hayo yalojaa matope, muwe mnawauliza wanaccm wenzenu, maana huko wamejaa watu WAVIVU ,wasopenda kusoma.Kwanza katiba ya sasa unaijua?