Hivi mnatumia vigezo gani kuseme Chadema cha Kikuu cha upinzani kwa takwimu zipi?Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani? Unachagua nini kati ya nini?
Angalau zamani hata kama CHADEMA kitashindwa kwenye box la kura, kilikuwa kinashiriki uchaguzi. Kilikuwa hakiwekewi vikwazo vingi hivi mwaka wa uchaguzi.
Watu wa CCM, mtakuwa na amani gani kuingia kwenye uchaguzi Mkuu katika mazingira haya?
Jitafakarini kwanza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu katika mazingira haya.
Wenyewe wanajiita viziwiUnaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani? Unachagua nini kati ya nini?
Angalau zamani hata kama CHADEMA kitashindwa kwenye box la kura, kilikuwa kinashiriki uchaguzi. Kilikuwa hakiwekewi vikwazo vingi hivi mwaka wa uchaguzi.
Watu wa CCM, mtakuwa na amani gani kuingia kwenye uchaguzi Mkuu katika mazingira haya?
Jitafakarini kwanza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu katika mazingira haya.
Si uingie barabarani wewe na familia yako wauiliwe kisha Chadema isonge mbele.Katika power struggle kanuni inayotumika huwa inaitwa "ubaya juu ya ubaya" ama ukitaka kumjua nyani usimtazame usoni.
CCM linapokija suala la kuyataka madaraka wako serious na hawana utu wala huruma.
Bila kuchapana na kuuana sahau kuhusu mabadiliko.
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani? Unachagua nini kati ya nini?
Angalau zamani hata kama CHADEMA kitashindwa kwenye box la kura, kilikuwa kinashiriki uchaguzi. Kilikuwa hakiwekewi vikwazo vingi hivi mwaka wa uchaguzi.
Watu wa CCM, mtakuwa na amani gani kuingia kwenye uchaguzi Mkuu katika mazingira haya?
Jitafakarini kwanza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu katika mazingira haya.
Kwa hiyo chako kikuu cha upinzani ni kipi!?Hivi mnatumia vigezo gani kuseme Chadema cha Kikuu cha upinzani kwa takwimu zipi?
Hivi chama kikuu cha upinzani kina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na Wananchi.
Hamna aliyewazuia Chadema wasishiriki uchaguzi ni wao wenyewe walisema hawashiriki unataka wabembelezwe?
Naunga mkono hoja kwa 100%.Katika power struggle kanuni inayotumika huwa inaitwa "ubaya juu ya ubaya" ama ukitaka kumjua nyani usimtazame usoni.
CCM linapokija suala la kuyataka madaraka wako serious na hawana utu wala huruma.
Bila kuchapana na kuuana sahau kuhusu mabadiliko.
Wewe ni Mtanzania au Mrusi?Hivi mnatumia vigezo gani kuseme Chadema cha Kikuu cha upinzani kwa takwimu zipi?
Hivi chama kikuu cha upinzani kina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na Wananchi.
Hamna aliyewazuia Chadema wasishiriki uchaguzi ni wao wenyewe walisema hawashiriki unataka wabembelezwe?
Toka lini umekuwa msemaji wa Watanzania.Wewe ni Mtanzania au Mrusi?
Maana, hakuna Mtanzania anayeishi hapa Tanzania anayeweza kusema hivyo.
Ni hatari sana Taifa kuwa na watu wa aina hii.
Tusiombe tufike huko. Kwa akili fupi tulizo nazo Watanzania tunadhani moto ukiwaka utawaunguza CHADEMA tu kitu ambacho ni UJINGA tu wa kutochambua mambo kwa kina. Ndugu yangu, tukifika huko, waliomo na wasiokuwemo wote wataunguzwa na moto huo.Si uingie barabarani wewe na familia yako wauiliwe kisha Chadema isonge mbele.
Sasa si wajitangaze tu washindi? Badala ya kutumia kodi za wananchi ili kufanya maigizo ya uchaguziKatika power struggle kanuni inayotumika huwa inaitwa "ubaya juu ya ubaya" ama ukitaka kumjua nyani usimtazame usoni.
CCM linapokija suala la kuyataka madaraka wako serious na hawana utu wala huruma.
Bila kuchapana na kuuana sahau kuhusu mabadiliko.
Ujinga tupu ulichochora hapaHivi mnatumia vigezo gani kuseme Chadema cha Kikuu cha upinzani kwa takwimu zipi?