Naona kijakazi wa Abdul umefura kweli kweli. Faida yako ktk harakati zako hizo za kumpigania Abdul ni nini?Si uingie barabarani wewe na familia yako wauiliwe kisha Chadema isonge mbele.
Naona kijakazi wa Abdul umefura kweli kweli. Faida yako ktk harakati zako hizo za kumpigania Abdul ni nini?Si uingie barabarani wewe na familia yako wauiliwe kisha Chadema isonge mbele.
Ndiyo wako kwenye kutimiza azma hiyo kwa kuendesha michakato fekiSasa si wajitangaze tu washindi? Badala ya kutumia kodi za wananchi ili kufanya maigizo ya uchaguzi
wewe ni mkongwe humu. kwanini una-tamper na integrity yako? unavodoubt kama chadema ni chama kikuu cha upinzani unataka tukuamini?Hivi mnatumia vigezo gani kuseme Chadema cha Kikuu cha upinzani kwa takwimu zipi?
Hivi chama kikuu cha upinzani kina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na Wananchi.
Hamna aliyewazuia Chadema wasishiriki uchaguzi ni wao wenyewe walisema hawashiriki unataka wabembelezwe?
Kweli Uhuru wa kuongea!Aisee.Hivi mnatumia vigezo gani kuseme Chadema cha Kikuu cha upinzani kwa takwimu zipi?
Hivi chama kikuu cha upinzani kina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na Wananchi.
Hamna aliyewazuia Chadema wasishiriki uchaguzi ni wao wenyewe walisema hawashiriki unataka wabembelezwe?