Huyu huyu aliyesema wananchi msijali kuhusu deni la taifa kukua maana hamtakuja kugongewa mlangoni mlipe na wala haliwahusu kawa waziri mkuu??
Mchumi daraja la kwanza wa kudesa! Uwaziri mkuu wa uchawa? Daktari wa philosofia asiyeamini kwenye takwimu/statistics?
Research yake ya phD ya uchumi ilihusu nini? Alikusanya na kuanalyze data? Anaziamini? Was it quantitative? or qualitative? Au alifanyiwa? Mwenye nayo atuservie hapa tafadhali...
Hakuamini kwenye data/statistics za Covid19 akamshawishi jiwe na kumrudisha kwnye baraza kwa sentensi moja tu ya kumsifia bongeni na leo pia bado haamini kwenye kutoa data za vifo/mauaji? Tunajuaje ukubwa wa tatizo bila numbers mchumi?
Unagawaje national resources bila statistics bwana mkubwa? Msomi waziri mkuu!
Nisaidieni majibu ili nimuheshimu mteuaji na mteuliwa kwamba ni watu sahihi kwa wakati sahihi!
Muda wa Genzee, AI na data science tunakua na waziri mkuu mchumi 1st klasi asiyeamini kwenye data!
Pathetic...